Selfika na JF: Snap it. Show it

..
Screenshot_20210114-200049_Samsung%20Music.jpg
 
Hiyo siku nilikuwa na vibe la kufa mtu
Mambo yangu yalikuwa yamekamilika Dodoma,si nikaenda fellowship usiku wa mkesha wa Christmas aiseee..hakuna siku nimecheza Kama hii.

Ule ukucha nilitafuta kitambaa nikafunga..nilitamani niende kuzibandua usiku uleule
sasa wee wa kuruka ktk kusifu na kuabudu, ilawaje na hizo fake kucha? Jah akakuonesha kuwa haupo real kwa siku hiyo. Uwiiiiiiih
 
Back
Top Bottom