Eizyek
JF-Expert Member
- Aug 12, 2019
- 800
- 2,776
Happy birthday brother.15|01|1990
15|01|2021
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Happy birthday brother.15|01|1990
15|01|2021
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Dar sehemu gan kupo hivi.?Mitaa fulani hivi dar es laam View attachment 1677725
Wee ndio wa kumtafutia maisha ya kisure, yeye atawatafutia atakaowatoa ktk kiuno chake.Hamna ushua hapo, ushua atautafuta mwenyewe
Kwema boss.Akhsante sana mkuu
Vipi kwema lakini
to u T 1990 ELY Happy Birthday Dear Ely15|01|1990
15|01|2021
HAPPY BIRTHDAY TO ME



15|01|1990
15|01|2021
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Akhsante sana mpendwa wangu Heaven SentMarahaba mdogo angu.
Nuru ya Kristo iende nawe katika mwaka wako huu mpya, ukauone ukuu wa Mungu. Heri ya siku ya kuzaliwa.
happy birthday kijana Ila usitafute sijui cake na maua ni Mambo ya pisi kali 🤣🤣, wew jioni tafuta mahali penye utulivu agiza kvant kubwa unainywa taratiibu huku ukitafakari jinsi gani huu mwaka uongeze hela15|01|1990
15|01|2021
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Hahaha.....ushaurui wako mzuri sana mkuu.happy birthday kijana Ila usitafute sijui cake na maua ni Mambo ya pisi kali, wew jioni tafuta mahali penye utulivu agiza kvant kubwa unainywa taratiibu huku ukitafakari jinsi gani huu mwaka uongeze hela
Hbd msukuma wa misosi15|01|1990
15|01|2021
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Maisha fake si maisha yangu.Ooooh hapo sawa cc, ila usipende kuji fake ni shida na mateso tupu.
Akhsante sana mpendwa wangu cocasticHappyto u T 1990 ELY
Jah akupe baraka, hekima, busara, ustahimilivu na uvumilivu ktk changamoto zote za maisha ya Dunia.
Akufanikishie Yale yote uliyoshindwa kuyatimiza, kwa uwezo wake yeye yakatimie upate kushuhudia ukuu na utukufu wake.
Nakutakia uishi maisha marefu yenye furaha na amani tele.
Enjoy ur special day. View attachment 1677863
Vizuri sana kama ni kwema mkuuKwema boss.
Bas uwage una specify aina ya urembo cc, sawa eeehMaisha fake si maisha yangu.
Urembo kidogo siku mojamoja si mbaya