Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mhhh usiwe na haraka na picTatizo unasema sawa kila siku.
Halafu nakudai picha
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Mhhh usiwe na haraka na picTatizo unasema sawa kila siku.
Halafu nakudai picha
Unazibania utadhani nini sijui
Mimi ni wako mchumba!Unazibania utadhani nini sijui
Ngoja nikae kimya
Nimekaa kimya mimi.
Kwema lakini mkuu
Karibu sana shemeji yanguMy dream City Mwanza ila sijawahi kufika kabisa[emoji19] nafikiria samaki tuu[emoji39][emoji39]. Ipo siku ntakusuprise mkuu.
Ahsante! Ila shemeji kwa nani tenaa🏃♀️Karibu sana shemeji yangu
Akhsante kushukuruAhsante! Ila shemeji kwa nani tenaa[emoji2088]
Safi Sana kijana wangu mwanzo mzuri 🤣🤣🤣somewhere drinking what @st annie wish us to drink......@billdragoView attachment 1677602
nimetangulia utanikuta brother hahahahahahSafi Sana kijana wangu mwanzo mzuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ts truth
Aseeeeee [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee wa kuruka ktk kusifu na kuabudu, ilawaje na hizo fake kucha? Jah akakuonesha kuwa haupo real kwa siku hiyo. UwiiiiiiihHiyo siku nilikuwa na vibe la kufa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yangu yalikuwa yamekamilika Dodoma,si nikaenda fellowship usiku wa mkesha wa Christmas aiseee..hakuna siku nimecheza Kama hii.
Ule ukucha nilitafuta kitambaa nikafunga..nilitamani niende kuzibandua usiku uleule
[emoji2][emoji2][emoji2] poapoaDah basi tenaa, msalimie the luckiest woman in the world [emoji7]
Woyoooooooooooooh hapo cha-cha mambo swafi.Tutaaanzia na snake xenzia hata usijali
Nikajua bado unawaagulia chadema[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] pole saana..hapana nilienda Lome kunoa vibuyu
Safi Sanasomewhere drinking what @st annie wish us to drink......@billdragoView attachment 1677602