Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

JPEG_20210114_170352_1055297786023001829.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilanga komo chote fyaaaaaah.
Hiyo siku nilikuwa na vibe la kufa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yangu yalikuwa yamekamilika Dodoma,si nikaenda fellowship usiku wa mkesha wa Christmas aiseee..hakuna siku nimecheza Kama hii.

Ule ukucha nilitafuta kitambaa nikafunga..nilitamani niende kuzibandua usiku uleule
 
Back
Top Bottom