Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Hee[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hayo maneno ya waswahili tu
Sasa utanipiga ngumi au hela?
Hee[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hayo maneno ya waswahili tu
Ukucha wa bandia ukataka uondoke na kucha yanguMungu ni mwema dada happy new year..pole sana kwa majanga ya kucha[emoji3]nilichukua likizo kidogo
vyote vyote naanza na ngumi nakutuliza na helaHee[emoji134]
Sasa utanipiga ngumi au hela?
Ukucha wa bandia ukataka uondoke na kucha yanguMungu ni mwema dada happy new year..pole sana kwa majanga ya kucha[emoji3]nilichukua likizo kidogo
Kama na ngumi basi hunipati ng'oovyote vyote naanza na ngumi nakutuliza na hela
hahaha natania Mimi sijawah nyanyua mkono kupiga na sitakuja fanya hivo,, usharudi town?Kama na ngumi basi hunipati ng'oo
Hela zako baki nazo
Nilimaliza na nikaongezea minne tena mkuuMishikaki mi4 mkuu unamaliza? Kweli mwanaume wa mikoani [emoji12]
Duh uko vizuri ngosha mwenyewe 😀.Nilimaliza na nikaongezea minne tena mkuu
Vipi kwema lakini mpendwa
Hata mdogo wako hujawahi mdunda kipindi mnakua?hahaha natania Mimi sijawah nyanyua mkono kupiga na sitakuja fanya hivo,, usharudi town?
Kwa mbali naona ugonjwa wanguNapunguza mchumba Saint Anne View attachment 1677532
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
zamani akati ndio anakua alikua na majibu ya ajabu nilimdunda Mara moja heshima mpaka leo , Rudi bwana mjini Nina zawadi zakoHata mdogo wako hujawahi mdunda kipindi mnakua?
Town sijarudi
Niko vizuri mno mkuuDuh uko vizuri ngosha mwenyewe [emoji3].
Kwema kabisa how's Rock city?
Yaani kuna watu wananichosha huku acha kabisa..zamani akati ndio anakua alikua na majibu ya ajabu nilimdunda Mara moja heshima mpaka leo , Rudi bwana mjini Nina zawadi zako
Tatizo unasema sawa kila siku.
Aisee kitambo sana [emoji2][emoji2][emoji2]Hicho kidole kumbe you're already taken aah mkuu[emoji848][emoji848]
Nimekuelewa[emoji23]Kwa mbali naona ugonjwa wangu
My dream City Mwanza ila sijawahi kufika kabisa😒 nafikiria samaki tuu😋😋. Ipo siku ntakusuprise mkuu.Niko vizuri mno mkuu
Rock city kwema/salama kabisa
Ulishaga wahi kufika mwanza?
Dah basi tenaa, msalimie the luckiest woman in the world 😍Aisee kitambo sana [emoji2][emoji2][emoji2]