[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wakianza kuongea R na F wachache ndo tunao tamba, na mie huwa navimbaa sana. [emoji6][emoji6][emoji6]
Kitumbo nae kasoma bhana, tena IT, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Remember aligombana na M hiyo siku, ikabidi modes wetu wam bann kwa 7days, ila yule ana matusi khaaaah,
Alimuambiaa R siku hiyo nawee bahati yako danga likakupeleka ulaya ukasome, vingnevyo ungekua nyoka wa tandika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
R akamjibu naweee tafuta danga akupeleke hata hapo Kenya km ni rahis, utabaki kubwatuka hovyo public ili ule, niache huna hadhi ya ku battle na mie, tafuta mbumbumbu wenzio. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata njaa iniume vipi, nikiwa chimbo inakata. Woiiiiiiiiiih