Ewaaa nenda kajifungie tu huko, uishibishe nafsi yako. Hukawii kuvurugwa humu😁😁😁Leo nashinda nasoma Isaiah, Ezekiel, na Jeremiah siku nzimaa.. wacha niingie chobingo sasa... mamaaa pastaaa jiraniii 😃😃View attachment 2231370
Yani wewe bhana umeamua kujibatiza kabisa eti “ugonjwa wangu”![]()



umenikatisha kabsa ugonjwa wangu huo fanya hvyo basiNimesoma hadi mwisho viwili tu.Ulivyonavyo tu hujavimaliza![]()
Katika tu hakuna namnaumenikatisha kabsa ugonjwa wangu huo fanya hvyo basi
hahahaha.jiachie mrembo.leo furahi day.kaributufurahi ausio!!!
Live bila chenga...... cocastic shos njoo umuone Mwaraaaaabuuuijumaa mubarackView attachment 2231431
Guu zuri hatari na mapaja thick yananidatisha sana
Kabisa mkuu!It's furahi day! tufurahi sote.
Naomba irudiweee haiwezekani nipitweijumaa mubarack
Naomba irudiweee haiwezekani nipitwe
F nipe code yake nimng'amuenakuambiaje chimbo kuna visanga, mara N Na F wakianza kuparuana, full chimbo kutikisika, yaan kuna vihoja huko hatareeeh.
Umejitahidi lakiniNimesoma hadi mwisho viwili tu.
Hahaha..katupia live bila emoj wala nene!!!😜Muarabu yupi tena? Au myemeni koko nawee?
Hebu arudie nimuone hapa, ili nithinishee. Uwiiiiih
Ni Kwa sababu vilinivutia hata kabisa sijasoma.Umejitahidi lakini