Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabisa aseeh ! Mie nataka potential areas hata mtu ukiwekeza na kufanya mambo yako panakubali sasa huku uwiiii!! Afu vijijini nuksi kweli ukianzisha biashara akaja mteja usipomkaribisha au kumsalimia kwa vernacular language itadodaa!![emoji134][emoji134][emoji134] kuna Ukabila mnoo mnoooo yani na figisu nyingi sana kutokana na ile majority kabila moja !! Kabila lenyewe sasa!![emoji848][emoji848]
Poleeeeeh shouzzzzzz, njooo town.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema mie nawakubali R na F wana behave kisomi na smart, wanaonesha umuhimu wa kuwa na Elimu, ila R anajua kutetemesha, anatema yai had chimbo linatikisika, yaan kimalikia chake kimenyoooka mno, ndo raha ya kusoma majuu.

Afu kumbe F kamaliza UDSM 2015, mie nilijuaga mtoto mwenzangu wee siku hiyo acha aniweke wazi nlishtuka, ana muonekano wa kitoto.

N mswahili sana, some time wakianza kukwaruzan na J lo, bas mambo mareshhhh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa wenye vichwa vizito tumetoka weupe kama karatasi
 
Back
Top Bottom