Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hobby haswaHata zamani sijawahi angalia[emoji23]
Kuna kadogo kangu kamoja kanapenda haya mambo...kaliwahi shiriki..aisee hela Hana anakopa ili anunue nguo aende shiriki umiss chuo.
Kweli urembo ni hobby.
Vipi ameishia wapi yeye ? Urembo una gharama si mchezo .. inahitajika uwe vziuri financial na support kubwa watu wa karibu