Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wenzetu walipoendelea ndo hakuna vitu ivyo.

Humu kiafrica Africa Ni ngumu mno.

Hata hawa wasanii wenu wa kike hapa bongo ambao wanatamba huko nyuma ya pazia wamepitia uzalilishaji mkubwa wa kingono.

Mnamitihani si kidogo watoto wa kike poleni sana

Inasikitisha
Ooh sahihi labda huko nje wapo salama
Asante kwa niaba tutafika tu
 
Hobby haswa
Mimi nilivyokuwa mdogo nilipenda sana kuwa miss hadi wageni wakija nyumbani natembea kimiss huyo .. nikawa naitwa miss jina la eneo ... Nilivyokuwa mkubwa ndoto zetu zimeisha

Vipi ameishia wapi yeye ? Urembo una gharama si mchezo .. inahitajika uwe vziuri financial na support kubwa watu wa karibu
Anaendelea kushiriki shiriki mara miss photo nini sijui
Tatizo hela hakana..Ika kazuri,kembamba karefu
 
Ewaaa nenda kajifungie tu huko, uishibishe nafsi yako. Hukawii kuvurugwa humu😁😁😁
🥹🥹 Nimekwama kwenye ISAIAH 53.. nimehsindwa kutoka hapaaa ✍️✍️✍️

But He was wounded for our transgressions, He was bruised for our guilt and iniquities; the chastisement [needful to obtain] peace andwell-being for us was upon Him, and with the stripes [that wounded] Him we are healed andmade whole.
 
Back
Top Bottom