Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

walichota ma mchungaji tena kuna ambao hawakufanya monthly test Feb na march wao walaleta kuni[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!
Maisha bushi mserereko tu
Naomba nije kuanza 4m 1 afu uwe rafik angu, niwe nakuletea vitu vitu. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Hahaha.... ... ndezi tu mie mkuu kamera inanisitiri!!
Unanikumbusha mwalimu mmoja hivi lasaba A. Ndala shule ya msingi.

alikuwa akiingia kufundisha Mimi sisikilizi anachosema/ macho yangu na akili zilikuwa zinaangalia neema zake alivojaliwa.

Katika wanafunzi wako wenye akili kama zangu Ni ngumu kukosekana
 
Back
Top Bottom