The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,059
Una mwili mdogo hivo chief 😝😝
Naufurahia sana!
Una mwili mdogo hivo chief 😝😝
Una utani na Wanyaturu wewe🤣🤣🤣🤣
Ni kweli nilikuwa napiga sana vyombo. Na bia yangu ilikuwa ni hii: Dogfish 90. Yaani ukisikia wanasema bia tamu ndo hii bia inaimbwa sasa! Lainiiii, tamu na inakulewesha unajiona hivi hivi.Inaelekea ulikuwa unapiga sana vyombo SYB
miezi sita hujaonja mvinyo!unakaribia kuacha kabisa.
Unapenda mvinyo wa aina gani?white,Rosè au Red?
kipenzi.umenitupa kbs.humu nimekua .,..
Good morning chief
Bora ulivyoacha kunywa😁Ni kweli nilikuwa napiga sana vyombo. Na bia yangu ilikuwa ni hii: Dogfish 90. Yaani ukisikia wanasema bia tamu ndo hii bia inaimbwa sasa! Lainiiii, tamu na inakulewesha unajiona hivi hivi.
View attachment 2231124
Nadhani nilikosea nilipoanza kuchanganya na hayo ma Absolut. Ikabidi tu nisalimu amri na kuacha....
Mvinyo ni whites na hasa hasa Chardonnay na penyewe ni mara moja moja sana. Naweza hata kukata mwaka mzima sijaonja. No big deal...
View attachment 2231125
Nimekutupa au tumetupana kipenzikipenzi.umenitupa kbs.humu nimekua .,..
Hata mimi nimeona kabisa Ankal.kama unapenda vitu vikali ankal… na recommend uwe unakunywa Long Island hizo spirits zinazoingia hapo zote ziwe dablo dablo..kama glass tatu hivi halafu utanipa mrejesho ankaliMixer za kibabe hizo ankal
Hapo Kwa Mwamposa weka Mwakaseghe
Itunze hiyo chupa binti...Bora ulivyoacha kunywa
Lakni kuna maisha ni lazima mtu uyapitie ili ujifunze na kujua nini ni nini..
Natamani kuionja hiyo Dogfish 90 nithibitishe hicho unachokisifia ni kweli?
Unachupa yako ya Chardonnay kutoka kwangu..siku ukifika misungwi nijuze chap..hallelujah


EwaaaaAnaza Mnyaki wa jina tu lakini Kinyaki anafahamu maneno manne tu:
1. Nkamu
2. Kyara
3. Ndaga fijo
4. Kalumbu
Hovyo kabisa. Wala hamna haki ya kujiita Wanyaki hata kama mnakwolifai kwenye vigezo vingine (mf. Vishundu). Mnyaki pekee humu ninayejua anakidhi vigezo vyote ni Mkurugenzi. Yaani hata akikitandika Kindali/Kinyaki chake you feel the pride that comes with knowing your mother tongue, your culture and ultimately yourself....
Kabisa yaaniBasi usiseme Mnyaki haswaaaa, futa hayo maneno, hiyo haswaa muachie Saint Anne
Naitunza Kwa umakini mno daddy..Itunze hiyo chupa binti...
Kuna siku tutainywa tu....
Tuombe uzima binti....
Yeah! Pombe siyo dili!
Been there done that![]()
Wow…
Nilijua tu utanihujumu