Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
[emoji16]anaweza akawa anatuchungulia tu hapaHawezi kuwa kalala muda huu chuchunge yule
[emoji16]anaweza akawa anatuchungulia tu hapaHawezi kuwa kalala muda huu chuchunge yule
Eeeh yule tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]anaweza akawa anatuchungulia tu hapa
Sasa utajiitaje Mnyaki wakati Kinyaki hukijui? Mfaransa kweli anaweza kujiita Mfaransa wakati Kifaransa hakijui? Hiki kizazi chenu hiki kwa kweli ni pasua kichwa.Mimi mnyaki ndio [emoji23] tena mnyaki haswa ila sasa kinyaki sikijui.
Ogopa matapeli injinia. Hakuna Mnyaki flat screen...Kinyaki cha ndani ndani hukooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe na wewe Mnyaki ndiyo sababu unakishundu[emoji28]
Haya ni maneno ya Shimba Ya Buyenze
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Sasa utajiitaje Mnyaki wakati Kinyaki hukijui? Mfaransa kweli anaweza kujiita Mfaransa wakati Kifaransa hakijui? Hiki kizazi chenu hiki kwa kweli ni pasua kichwa.
Eti umekomaa kabisa mi Mnyaki tena Mnyaki hasa ila Kinyaki sikijui na pua umebana [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Mtumishi weka hata ka mkono basiOgopa matapeli injinia. Hakuna Mnyaki flat screen...
Irudiweeeeeeeeeee[emoji16]anaweza akawa anatuchungulia tu hapa
Nazipenda sana😋We huvipendi?
Vimenishushia sumu..
Kuna sehemu nilienda chokoza mtu aingie kingi wapiiii…
Meshushuka shuu
Nikaona heri nideal na mov..
Hatari [emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu ni wako fastaa mno[emoji23][emoji23]
Mkuu vocha ulipata?Mlale Ila msifanye chochote
Anaza Mnyaki wa jina tu lakini Kinyaki anafahamu maneno manne tu:[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Usinichezee Mtumishi. Nimepiga mvinyo mweupe wa kutosha hapa. Naweza kujiripua bila emoji wala nini ohooo!
Inawezekana[emoji848]Mlale Ila msifanye chochote
Kwani watu wakilala wanafanyaga nini usingizini? Wanakoroma ama? [emoji848][emoji848]Mlale Ila msifanye chochote
[emoji1787]Anaza Mnyaki wa jina tu lakini Kinyaki anafahamu maneno matatu tu:
1. Nkamu
2. Kyara
3. Ndagafijo
Hovyo kabisa. Wala hamna haki ya kujiita Wanyaki hata kama mnakwolifai kwenye vigezo vingine (mf. Vishundu). Mnyaki pekee humu ninayejua anakidhi vigezo vyote ni Mkurugenzi. Yaani hata akikitandika Kindali/Kinyaki chake you feel the pride that comes with knowing your mother tongue, your culture and ultimately yourself....
Jilipueeee. Nina faya extingwishaUsinichezee Mtumishi. Nimepiga mvinyo mweupe wa kutosha hapa. Naweza kujiripua bila emoji wala nini ohooo!
Kaka ningepata ningeleta mrejesho nimeambulia manyonya tu labda nijaribu keshoMkuu vocha ulipata?