Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Weee Mimi ni mnyaki ogAnaza Mnyaki wa jina tu lakini Kinyaki anafahamu maneno manne tu:
1. Nkamu
2. Kyara
3. Ndaga fijo
4. Kalumbu
Hovyo kabisa. Wala hamna haki ya kujiita Wanyaki hata kama mnakwolifai kwenye vigezo vingine (mf. Vishundu). Mnyaki pekee humu ninayejua anakidhi vigezo vyote ni Mkurugenzi. Yaani hata akikitandika Kindali/Kinyaki chake you feel the pride that comes with knowing your mother tongue, your culture and ultimately yourself....