cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,169
Wacha wee.nimeelewa kiasi.
Asante
Bado kidunchu
Wacha wee.nimeelewa kiasi.
Asante
Bado kidunchu
PoaaaaahNa mamaa pastaa tunakula mastory 🫢🫢 Bye
Usijar dea.Tufanyie wepesi mpendwa binafsi ubuyu unanishindwa kwa code ngumu![]()
simu inanichomesha sana, kuna siku nimeandika sikujua kama ime jiongeza maeneo kadhaa yameenda matusi alafu ni MD nikasema leo kutakucha maana cha kwanza nilimtumi message ya complain moja kwa moja alijua nimekasirika ndio maana nimeambatanisha na matusii ... baada ya mda akaanza nipigia simu nipokee wapi nika nyuti nikaja mcheki after two days anaomba samahani
kumbe mie simu ilijiongeza tu





poleeeeehWacha wee




wee na wengi hawawezi kumjua.R. Paulwee na wengi hawawezi kumjua.
Mama malezi kwa ubuyuuu sikuwezi, rafiki angu huyoooR. Paul








Una mwili mdogo hivo chief 😝😝
Nipo vizuri oooh.Mama malezi kwa ubuyuuu sikuwezi, rafiki angu huyooo
Nipo hapa nachat nae tsup.
Afu anasema kuna mdau JF anatoa siri za chimbo, kumbe yupo karibu yake.
Na huwa anasoma kumbe.


Kiukweli hata mie nmeumia, afu jamaa hakujali wala nn, yaan wanatesa watu kihisia.Nipo vizuri oooh.
Na Mimi nilikuwa najiuliza hivi hawa si watashtuka kuwa kuna mtu anatoa Siri zao? Ila ya kistuli kuzimia kwenye fumanizi imenisononesha...




kwa umbea uko vizuri, wee chimbo elf 30 kila mwezi kulipia, na nalipia ili nisikose umbea na maubuyuuu. 





A usinikaushe uzazi? Alivyo na mdomo yuleKiukweli hata mie nmeumia, afu jamaa hakujali wala nn, yaan wanatesa watu kihisia.
kwa umbea uko vizuri, wee chimbo elf 30 kila mwezi kulipia, na nalipia ili nisikose umbea na maubuyuuu.
Ntakuja na wa R vs A, wacha wachambane siku hiyoooo, mbavu zangu mie,![]()






nakuambiaje chimbo kuna visanga, mara N Na F wakianza kuparuana, full chimbo kutikisika, yaan kuna vihoja huko hatareeeh.Hebu sura bhana wee.
Wakati mwingineHebu sura bhana wee.
Mmmh wee hapana, weka sahivi.Wakati mwingine
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.


