Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo namba wani kuna kipindi kidogo aniue. Ni sababu mojawapo iliyonifanya nikomae tu na mvinyo japo na zenyewe naweza kupitisha hata miezi 6 sijaonja. Vodka is dangerous!
Inaelekea ulikuwa unapiga sana vyombo SYB

miezi sita hujaonja mvinyo!unakaribia kuacha kabisa.

Unapenda mvinyo wa aina gani?white,Rosè au Red?
 
me more
Screenshot_20220519-231407.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom