Ahssnte sana kiongozi uwe na siku njema pia kaka mkubwa🙏Good morning bro.
Kawe na siku njema iliyobarkiwa.
Ahssnte sana kiongozi uwe na siku njema pia kaka mkubwa🙏Good morning bro.
Kawe na siku njema iliyobarkiwa.
Hivi ulifichwa wapi mdogo wangu?Nilijua tu utanihujumu
hahahaha,we umenitupa bana,hujambo lknNimekutupa au tumetupana kipenzi
bonjourNilijua tu utanihujumu
Tumetupana bhana..hahahaha,we umenitupa bana,hujambo lkn
hahahahaTumetupana bhana..
Sijambo mtu chake..na wewe hujambo
Ndio mkuuUna utani na Wanyaturu wewe![]()

Ah we kwenda bwana.Hivi ulifichwa wapi mdogo wangu?
Hizo juhudi nilizofanya kukuita, aunt sophy27 anajua
Hiki haukunipa🏃🏾♀️
Sasa ungetuma full pic nione ugonjwa wangu
Leo nashinda nasoma Isaiah, Ezekiel, na Jeremiah siku nzimaa.. wacha niingie chobingo sasa... mamaaa pastaaa jiraniii 😃😃
tufurahi ausio!!!Furahi day
Yani wewe bhana umeamua kujibatiza kabisa eti “ugonjwa wangu”🤣🤣Sasa ungetuma full pic nione ugonjwa wangu