Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapi wewe

Mboga saba kabisa

Ukiweka picha hapa ni mtafutano

Unang'aa kama jiwe la kito

Busara na hekima zimekujaa

Ungebeba kidumu

Akili zako zingekuwa fyatu

Kama pisi kali coca
Wee kaka bila kunitaja huridhiki eeeeh? Unawashwa sana ukiniona? Sio wa mfano ktk mambo yenu, tuheshimiane samahani sana, tena kuwa na adabu na uishikilie.

Nijie taratibuuu, huo mwendo sio wenyewe, utaharibikiwa bureee.
Umekosa wa kutolea mfano eeeeh? Sijaamka na wee leo na sihitaji kuamka nawee.

Heshima ifuate mkondo wake. Msieeeeeeew
 
Yani hapa maji yameisha ka binti kanachokaje kuchota maji mtoni Huko vipindi vikiisha nawachukua form 3 ambao sio candidate class wakanichotee mie!!!
Kuni wataleta waliofeli mid term tena asante umenikumbusha nilikua sijawapa adhabu!
khaaaaah
 
Back
Top Bottom