Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kwa hiyoWazazi wangu walikuwa walimu
Kwahiyo naelewa raha anazozipata bosi ledi
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mmekula sana kuku eeh

Kwa hiyoWazazi wangu walikuwa walimu
Kwahiyo naelewa raha anazozipata bosi ledi
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Kabisa yani! Yani mwanafunzi akipendwa na mwalimu mnyamahanga weee mwalimu unafaidi sana!
Yaani ukiwa mwalimu ni raha jamani,
Hasa vijijini huko.
Huyu anakuletea hiki,yule anakuletea hiki
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Siyo kuku tu.Kwa hiyo
Mmekula sana kuku eeh![]()
Asante Mkuu!! 😉Nibariki kabla sijaenda pindi basi!
Hapo bado wa kuja kukusaidia kazi nyumbani.Kabisa yani! Yani mwanafunzi akipendwa na mwalimu mnyamahanga weee mwalimu unafaidi sana!
Nina mabinti rafiki zangu form 1 na 3 wananileteaje vitu!
Kumbe rushwa inaanzia hukoSiyo kuku tu.
Wanafunzi walikuwa wanawapa kuni,wanawachotea maji enzi hizo mimi mdogo.
Nimekua naona wanaleta hiki,mara kile
Maembe yakianza sasa acha tu ..
Kila mtu anataka ampelekee mwalimu .
Watoto wa mjini hamuwezi elewa haya mambo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Siyo kuku tu.

Siyo rushwa,Kumbe rushwa inaanzia huko
Tutafika tumechoka
Hapo bado wa kuja kukusaidia kazi nyumbani.
Walimu wanakula mema ya nchi hapa duniani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yani hapa maji yameisha ka binti kanachokaje kuchota maji mtoni Huko vipindi vikiisha nawachukua form 3 ambao sio candidate class wakanichotee mie!!!
Kuni wataleta waliofeli mid term tena asante umenikumbusha nilikua sijawapa adhabu!![]()

,unakuta mwalimu naomba nikusaidie hiki..Nyie mlikuwa mabwanyenye

Ukupe wausema wewe..wenzio walifanya Kwa upendo.Nyie mlikuwa mabwanyenye
Makabaila yaleta vitu na kufanya kazi
Kama sio ukupe ni nini![]()
Yaani ukiacha zile za adhabu na kuchukua darasa Fulani likafanye kazi .
Kuna wale wanakuja kufanya willingly,unakuta mwalimu naomba nikusaidie hiki..
Mwingine mwalimu nikubebee kikapu.
Aisee mwalimu unakula mema ya nchi wewe na familia yako.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Na vyenyewe vinavyopenda na kufurahi sasa!!🤔🤔🤔🤔
Yaani ukiacha zile za adhabu na kuchukua darasa Fulani likafanye kazi .
Kuna wale wanakuja kufanya willingly,unakuta mwalimu naomba nikusaidie hiki..
Mwingine mwalimu nikubebee kikapu.
Aisee mwalimu unakula mema ya nchi wewe na familia yako.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Halafu utasikia mtu anasema ualimu ni kazi mbaya!Hahahahahahahh kazi za rejareja hakuna kuhangaika labour force ipo!

Dunia ya sasa imeharibika,,,maadili hakuna tena.Sasa hapo kwenye kazi walimu wa kiume wanawakulaje mabinti uwii!!
Na vyenyewe vinavyopenda na kufurahi sasa!!![]()
🤣🤣🤣🤣🤣 Mweh Anne acha basi huko kuheshimika kwio🙄!Halafu utasikia mtu anasema ualimu ni kazi mbaya!
Hajui raha iliyopo huko
Tena uwe mwalimu vijijini ndani huko.
Ualimu ndiyo taaluma inayoheshimika sana kuliko zote huko vijijini.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mmejaa mtaani Kwa miaka hiiMweh Anne acha basi huko kuheshimika kwio
!
Ndio tumejaa kwa wingi kuliko kada nyingine!!
Hukuwai kutumikia adhabuDunia ya sasa imeharibika,,,maadili hakuna tena.
Mabinti wanajitegesha,walimu wa kiume nao wanachukulia advantage.
Zamani miaka ya 70 huko wazee wanafanya hii kazi,haya mambo yalikuwa hakuna.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app