Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmejaa mtaani Kwa miaka hii
Lakini kipindi Cha nyuma ajira zenu zilikuwa hazisumbui.
Na ninazungumzia kijijini huko ndanindani.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hata Zamani tu..kwani unakuta kata ina shule kama 3 au 4 za sekondari 9 au10 za msinngi wakati katika kata kuna dispensary 1 tu! kituo cha polisi kimoja watendaji wa kata wawili n.k so Moja kwa moja walimuy ndio tumezagaa zagaa sana!

Tena miaka hii vijijini ndio kuna scarcity of teachers kwa wingi kwani tangu 2015 ajira za Walimu zimekua za kubip bip sana tofauti na huko nyuma enzi zetu aaaaa kila mwaka tulikua tunamwagwa !!
Sasa hapa kati walimu kibao wamehama hama kwenda mijini na hakuna replacement!
 
Hukuwai kutumikia adhabu

Nyumbani kwa mwalimu au ulikuwa untouchable
Hakukuwa na adhabu nyumbani Kwa mwalimu.

Adhabu zilizokuwepo shule nilifanya,japo merely sana
Huwezi nikuta kwenye makosa hovyo,labda yale ya jumla jumla.
Na nilipokuwa kwenye makosa nilitreatiwa kama watu wengine .

Nakumbuka kuna siku nilibaki na Mimi kuangalia mechi ya ngumi shule,,,mwalimu ambaye ni mama yangu akatubamba.. Alikuwa anarusha kichura yule Maza acha kabisa.

Siku nyingine nilibambwa na kosa Gani sijui,Mzee alinitandika,,nilimmind sana .
Ilikuwa ndio mara ya Kwanza Mzee kunikamata kwenye adhabu shuleni na ilikuwa mara ya Kwanza kuchapwa na Mzee .
Nyumbani sijawahi pigwa na baba.

....
Untouchable somehow,Maza alikuwa ananipenda na hakuwa tayari kuniona nachapwa kizembe bila sababu za msingi
Na Mimi nilijitahidi kwenda vizuri,nidhamu na masomo pia +nilipata hitilafu mkono wangu uivunjika Kwa hiyo nilikuwa siguswi.
Hiyo ni kwa level zote za elimu yangu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hata Zamani tu..kwani unakuta kata ina shule kama 3 au 4 za sekondari 9 au10 za msinngi wakati katika kata kuna dispensary 1 tu! kituo cha polisi kimoja watendaji wa kata wawili n.k so Moja kwa moja walimuy ndio tumezagaa zagaa sana!
Bado mwalimu aliheshimika mno aisee.
Labda hii inatofautiana vijiji na vijiji.
Ila vijiji nilivyobahatika kuishi mimi mentality yao ilimpa heshima kubwa mwalimu kuliko mtu mwingine yoyote.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Siyo kuku tu.
Wanafunzi walikuwa wanawapa kuni,wanawachotea maji enzi hizo mimi mdogo.

Nimekua naona wanaleta hiki,mara kile
Maembe yakianza sasa acha tu ..
Kila mtu anataka ampelekee mwalimu .

Watoto wa mjini hamuwezi elewa haya mambo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hapa point kabisa ukirudi umejichokea utasikia hodi tumekuja tukuoshee vyombo
 
Hakukuwa na adhabu nyumbani Kwa mwalimu.

Adhabu zilizokuwepo shule nilifanya,japo merely sana
Huwezi nikuta kwenye makosa hovyo,labda yale ya jumla jumla.
Na nilipokuwa kwenye makosa nilitreatiwa kama watu wengine .

Nakumbuka kuna siku nilibaki na Mimi kuangalia mechi ya ngumi shule,,,mwalimu ambaye ni mama yangu akatubamba.. Alikuwa anarusha kichura yule Maza acha kabisa.

Siku nyingine nilibambwa na kosa Gani sijui,Mzee alinitandika,,nilimmind sana .
Ilikuwa ndio mara ya Kwanza Mzee kunikamata kwenye adhabu shuleni na ilikuwa mara ya Kwanza kuchapwa na Mzee .
Nyumbani sijawahi pigwa na baba.

....
Untouchable somehow,Maza alikuwa ananipenda na hakuwa tayari kuniona nachapwa kizembe bila sababu za msingi
Na Mimi nilijitahidi kwenda vizuri,nidhamu na masomo pia +nilipata hitilafu mkono wangu uivunjika Kwa hiyo nilikuwa siguswi.
Hiyo ni kwa level zote za elimu yangu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unajua kujieleza
 
255625615744_status_2afe67e9f3e54e0294a0494144f58848.jpg
 
Unajua kujieleza
Na hapo sijaongea kwa Sauti.
Utatamani unisikie tena na tena.

Nilikuwa na nyota ya kupendwa,sura yangu yenyewe imekaa kipole mno.
Ukijumlisha na kile kimwandiko nilikuwa na charaza ubaoni..na akili mbili tatu.
Siku mwalimu wangu mmoja akibahatika kusoma ukorofi wangu humu atazimia.

Back
Top Bottom