Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Hiyo ndio akiliNyenyenyeeeee
Gari imewaka… mara paap mafuta bei juu.. naona mmepaki mlimani mnangoja kuseleleka na neutral gear.
Top 5 tumo
Hiyo ndio akiliNyenyenyeeeee
Gari imewaka… mara paap mafuta bei juu.. naona mmepaki mlimani mnangoja kuseleleka na neutral gear.
Umeshatupia nami niwekemo??Aliye maeneo ya masaki.msasani.tukutane the fame coffee
Daah vitu amazing. Nimetamani sana magimbi




Me nimetamani kiazi… kiazi na chai ya maziwa ni tramuuuu 😎Daah vitu amazing. Nimetamani sana magimbi
AmenUkijifanya mjinga kidogo mabele ya watu utajifunza mambo mengi,kuhusu hao watu na tabia zao bila kutumia nguvu kubwa ambapo itakusaidia kujifunza zaidi namna ya kuishi na watu tofauti bila shari wala kelele,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekua huko ningekuletea mama mchungaji huku wananzengo na wanafunzi wananileteaga mengi balaaDaah vitu amazing. Nimetamani sana magimbi
nimekutupia pmUmeshatupia nami niwekemo??
Acha usanii mjeda!nimekutupia pm
hahahahahaAcha usanii mjeda!
Mie magimbi napenda sana sijawahi kuyachoka.Me nimetamani kiazi… kiazi na chai ya maziwa ni tramuuuu![]()
nimekutupia pm
Mimi magimbi zaidi maana sijayala muda mrefu sana; ukute sasa ni magimbi ya kwetu Mbeya jamani.Me nimetamani kiazi… kiazi na chai ya maziwa ni tramuuuu 😎
Duuh nimekutamania mkemiaNingekua huko ningekuletea mama mchungaji huku wananzengo na wanafunzi wananileteaga mengi balaa
yani mihogo magimbi viazi karanga ndizi mboga za majani maparachichi kwa wingi sana!!
Mimi magimbi zaidi maana sijayala muda mrefu sana; ukute sasa ni magimbi ya kwetu Mbeya jamani.
Kuwa mwalimu raha sanaNingekua huko ningekuletea mama mchungaji huku wananzengo na wanafunzi wananileteaga mengi balaa
yani mihogo magimbi viazi karanga ndizi mboga za majani maparachichi kwa wingi sana!!