Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jiandae my wangu Depal
20220519_083412.jpg
 
Wee kaka bila kunitaja huridhiki eeeeh? Unawashwa sana ukiniona? Sio wa mfano ktk mambo yenu, tuheshimiane samahani sana, tena kuwa na adabu na uishikilie.

Nijie taratibuuu, huo mwendo sio wenyewe, utaharibikiwa bureee.
Umekosa wa kutolea mfano eeeeh? Sijaamka na wee leo na sihitaji kuamka nawee.

Heshima ifuate mkondo wake. Msieeeeeeew


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isaiah 55:10-11
[10]“For as the rain comes down, and the snow from heaven, And do not return there, But water the earth, And make it bring forth and bud, That it may give seed to the sower And bread to the eater,

[11]So shall My word be that goes forth from My mouth; It shall not return to Me void, But it shall accomplish what I please, And it shall prosper in the thing for which I sent it.

That was so thoughtful of you jirani Pasta; you have blessed me indeed....So shall it be IJN

You are blessed in the morning, afternoon, evening and during the night. You are blessed in the city, and in the country; you are blessed when you come in and when you go out. Your name shall be crowned with Glory and your generation shall be called the blessed. You are the salt of the earth and you shall never lose your taste IJN. You shall set the records and never shall you be ordinary. Greatness, Honor, Glory, Favor and Riches shall never depart from you. You are a city located on a high hill; what's in you shall never be hidden; it will surely manifest. More fresh Grace and Anointing; You are differentiated......
Amen..
 
Baba Mchungaji. Asante sana kwa sala hii yenye nguvu na upako. Nimeguswa sana!

Hakuna zawadi ya thamani zaidi ya maombi na hakuna njia bora ya kumjali mtu zaidi ya kumuombea. Hebu yote uliyoyaomba juu ya maisha yangu na yakapate kibali mbele ya Mungu wetu Aliye mkuu. Mungu huyu mwema Amenivusha katika vita vikali vya kiroho na kimwili na naamini kuwa ana makusudi mema na maisha yangu. Na bahati nzuri najua ninachotakiwa kufanya na naamini kitatimia. Ndiyo maana niko hai!

Wewe ni mdogo wangu kiumri na nakuhesabu kama ndugu. Mungu Atupe uzima na naamini siku moja tutaonana na kusali pamoja. Barikiwa sana Mtumishi...

Maombi yametolewa na kama manukato na marhamu ya thamani sana yamepanda na kufika mbele ya kiti cha enzi; na yamepokelewa. Shetani ameshindwa na ushindi umeshapatikana tayari.

Tubaki katika rehema na kumbato lake nasi daima tutabakia salama kwa sababu Alishaahidi kuwa hatatuacha. Tutubu madhambi yetu. Tupendane. Tusameheane na tuonyeshe upendo na tumaini lake kuu kwa wengine...

Asante sana Baba Mchungaji
View attachment 2230138
Amen. Mwana wa Mungu.

Maombi ni ishara ya utegemezi kwa Mungu na uwezo wake
Maombi ni ishara ya unyenyekevu mbele za Mungu
Maombi ni pumzi na uhai
Maombi ni nguvu
Maombi hutosegeza kwa Mungu, nguvu na uwezo wake
Maombi hu activate nguvu za Mungu na wajumbe wake kufanya kazi nasi
Maombi huongeza ujasiri
Maombi hufungua jicho la rohoni
Maombi hutuingia katika realm of God
Maombi ni fungu
Maombi ni huduma
kutoka kuomba ni dhambi
Maombi ni kumjua Mungu
Maombi ni kumshinda shetani na agents
Maombi huaimarisha mahusiano yetu na Mungu
Maombi hufanya huduma ya malaika kuwa active katika maisha yetu
Maombi hufungua ufahamu wa rohoni
Maombi huimarisha afya
Maombi hutupa nguvu ya kuishi timeless zone
Maombi hutupa nguvu za kutawa mipaka tetu
Maombi ni lugha
Maombi ni nuru
Maombi ni kinga
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom