Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
[emoji1787]
Au bhas
[emoji1787]
😂 utajua wewe.Nikiona manyoya
Nijiongeze sio[emoji848]
Wewe ni chizi[emoji23]Ina nyota ya kilokole
Nani anataka
Mkuu, nakuomba faragha mara moja. ASAP[emoji172][emoji172][emoji170][emoji170]View attachment 2230335View attachment 2230336View attachment 2230337
Umeongea kinyongee[emoji23] utajua wewe.
Au basi nini?[emoji1787]
Au bhas
Yaan wewe dots zako huwa unaconnect kimakosa sana [emoji23][emoji23]Umeongea kinyongee
Elewa tu
Halwa haina makombo
Nipikie na mie bwana
Unafaidi Sana madamNingekua huko ningekuletea mama mchungaji huku wananzengo na wanafunzi wananileteaga mengi balaa
yani mihogo magimbi viazi karanga ndizi mboga za majani maparachichi kwa wingi sana!!
Mama Junia [emoji7] unywele unakuja speedTupumzishe emoj
Mjep nimepumzisha emoj[emoji23]View attachment 2230374
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mzima kabisaYaan wewe dots zako huwa unaconnect kimakosa sana [emoji23][emoji23]
Uko poa lakini??
Wazazi wangu walikuwa walimuUtajua
Hujui
hapa nimeletewa parachichi na machenza!Unafaidi Sana madam
Mdada mwenye uzuri wake.Sponsored by rafiki yangu wa form 1!
View attachment 2230375
[emoji7][emoji7][emoji7]Sponsored by rafiki yangu wa form 1!
View attachment 2230375
Speed ya mchongo[emoji23]Mama Junia [emoji7] unywele unakuja speed