Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Ngoja na mie leo nisome.😀😀😀😀 huwa napenda sana Mithali Sura ya 30 na 31 nikisoma huwa nafurahi tu, kwa ufupi huwa napenda Mithali na ni chakula cha kila siku kuna nondo mle ukizila ninhatari
Ngoja na mie leo nisome.😀😀😀😀 huwa napenda sana Mithali Sura ya 30 na 31 nikisoma huwa nafurahi tu, kwa ufupi huwa napenda Mithali na ni chakula cha kila siku kuna nondo mle ukizila ninhatari
Ngoja nimuite Kelsea aje akupe somo la kupendaKuna wenye viherehere vyetu tunapenda Kwan kunatatizo
Kwa hio nikipata kazi ya mbali sana kukaa mwaka au miezi mingi huwezi niruhusu nipige hata mmoja, we unajua kabisa sisi wanaume tulivyo, nakupigia simu mke wangu nimezidiwa sana, kwa hio hutoniruhusu hata wa kupunguzia hamu? 😆 😆 😆
Acha hivyo basi.nitakuruhusu
Haipo hiyo kwani Hadi uombe wew ukitaka kufanya fanya tu huko nisijue tuheshimianeKwa hio nikipata kazi ya mbali sana kukaa mwaka au miezi mingi huwezi niruhusu nipige hata mmoja, we unajua kabisa sisi wanaume tulivyo, nakupigia simu mke wangu nimezidiwa sana, kwa hio hutoniruhusu hata wa kupunguzia hamu? 😆 😆 😆
Acha hivyo basi.
Yaani umuambie kabisa wife unataka kupiga nje? Aisee hapana wewe fanya tu kimya kimya.Kwa hio nikipata kazi ya mbali sana kukaa mwaka au miezi mingi huwezi niruhusu nipige hata mmoja, we unajua kabisa sisi wanaume tulivyo, nakupigia simu mke wangu nimezidiwa sana, kwa hio hutoniruhusu hata wa kupunguzia hamu?![]()
![]()
![]()
Acha hivyo basi.
Hujalala tuu weye mrembo....ebu mpe muongozo huyu sophy27 kuhusu kupendaNipo sana nawazoom tu.
Et jamani kunaumuhimu gani kusema wakat mizigoyako unayo mwenyew 😂unatembea nayoYaani umuambie kabisa wife unataka kupiga nje? Aisee hapana wewe fanya tu kimya kimya.
"Wala haikanushiki kabisa kwamba mdogo hubarikiwa na mkubwa."Baraka za walio tutangulia muhimu sana, hapo walipofika kuna neema ya Mungu imewafikisha . Inapotokea akakubariki anaruhusu neema ile ile iliyo mvusha ikuvushe na wewe.
Baraka za wazee ( wakubwa Mungu huzieshimu sana wanapoziachia na huwa zina nguvu sana) , Jakobo alibariki nyumba ya Farao na ile baraka ili work kwa kina Farao ( lineage yao yote ) hadi yule Farao wa mwisho unaweza tazama picha ya Farao ila alikuwa vile kwasbabau Jakobo alibariki. ✍️✍️
Amen captain 🙏🙏Methali 31:30 Madaha huhadaa na uzuri haufai,bali mwanamke amchaye Mwenyezi-Mungu atasifiwa.
Mimi nisiambiwe hizo habari kabisa. Tunajua kabisa wanaume wapo vipi lakini nisijue afanye mambo yake kimya kimya. Mume anauma weee (japo sina hata huyo mumeEt jamani kunaumuhimu gani kusema wakat mizigoyako unayo mwenyewunatembea nayo
)Okay dearmie nipo sanaa,
Ndio umueleze huyo mrembo....Si mnasema mwanamke hapendi ila heshima kwa mumewe ama vipi?
😂 😂 😂Et jamani kunaumuhimu gani kusema wakat mizigoyako unayo mwenyew 😂unatembea nayo
Kwakweli heshima ifate mkondo hawez kuwa na mmoja sawa anamatamanio sijakataa sasa ndo Hadi useme kwanza mwanaume wangu nikikufumania nakuacha huna vigezo mwanaume unafumaniwaje 🤣🤣🤣Mimi nisiambiwe hizo habari kabisa. Tunajua kabisa wanaume wapo vipi lakini nisijue afanye mambo yake kimya kimya. Mume anauma weee (japo sina hata huyo mume)
Nilipewa hili neno siku ya ubwabwa wangu;😀😀😀😀 huwa napenda sana Mithali Sura ya 30 na 31 nikisoma huwa nafurahi tu, kwa ufupi huwa napenda Mithali na ni chakula cha kila siku kuna nondo mle ukizila ninhatari
Ah tunapenda vibayaWanawake wanapenda toka lini