Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Nakuona ulingoni
Nakuona ulingoni
Ntachekeesha[emoji23]Nahisi utapendeza ukienda kwa anayejua kusuka bob vizuri. ...
Mimi huwa najaribu huyo uzuri huwa sijali hata kama sitopendeza nabaki nazo tu hadi niamue mimi
Ndiyo kaka chuchuNakuona ulingoni
Khaaaaah! Mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]Jinga weww[emoji1787][emoji1787]
I screenshot uwekeNataka niweke picha yangu ndio.
Hamna ,una kichwa kizuri tu mbonaNtachekeesha[emoji23]
Yaani nimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wamevurugwa[emoji2]
Endelea kufoongookaNdiyo kaka chuchu
I mean chuchunge
Sio kwa bobHamna ,una kichwa kizuri tu mbona
Utadamshi
Hajapenda huyo [emoji1][emoji1]Jamaa namuonea wivu sana, huyu ndio mke bora.
View attachment 2227348
Na mbengo zikashokeEndelea kufoongooka
KabisaHajapenda huyo [emoji1][emoji1]
HayaSio kwa bob
Na hii sura ya baba yangu akiyanani ntakuwa kama karaba wa kwenye kirikou
Ngoja nianze navyoHaya
Anza na hizo vitunguu vikubwa kwanza
😁 😆😆😆 kweli eeh, mi najua ndio mapenzi yenyeweHajapenda huyo [emoji1][emoji1]
Ndo nashngaa Yan hajapenda kabisa asitutanie [emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa
Eti anasemaje sijui aiseeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nipo sanaa,Ooh great [emoji3590]
Usipotee sana japo mwishoni pagumu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shostito Jomoneh
Umekuja??
Nilikumisss acha tyuh!
Ukapotea kimya sieeeeew[emoji3059]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app