Mkono mtupu haulambwi....pesa ni ulinzi na mwanamke anahitaji kulindwa. Huo ndio ukweli wenyeweHahaha ndo ukweli huo
Muhimu ni upendo kati ya wapendanao .
Mkono mtupu haulambwi....pesa ni ulinzi na mwanamke anahitaji kulindwa. Huo ndio ukweli wenyeweHahaha ndo ukweli huo
Muhimu ni upendo kati ya wapendanao .
Utamu gani wakati utamu unao mwenyewe kwenye hiyo mbususu yakoMie sijawah experience hicho kitu sababu sijawah pata bwana wa kunipa mihela, kinachouma ni utamu wangu kugaiwa kwingine na si vinginevyo.
Aisee Mungu atusaidieSi ndo hapo ni uzembe wa Hali ya juu
Kwakweli sinaga mda wa kumfatilia mtu Tena nikiwa sinampango wa kuachana nae ndo kabisa tupeane heshima sasa Hadi nikufamanie utakuwa hujielew yaani nikifumanie umekwama wapi hasa![]()
. Una hiyo experince mama ya kumkuta mtu live anacheat???Unalambwa vizuri tu..Mkono mtupu haulambwi....pesa ni ulinzi na mwanamke anahitaji kulindwa. Huo ndio ukweli wenyewe
Wapo mbona tatizo mnakariri.Wannawake gani hao...mbona siwaoni
Unaniambia "mme wangu huko uliko najua kuna wanawake wengi wazuri kuliko mimi, najua unatafuta na utakaa muda mrefu, nilikuwa nakuambia tu kama ikitokea unahitaji mwanamke nimekupa ruhusa......lakini....nimelewa 🤣🤣🤣
Hamna kitu km icho Kuna wanaume jmn unapenda tu utake usitake sijui wanatushikaga wapi awe na hela au Hana labda ukose iyo bahati😁 Ila kunawanaopendwa bhna serious na tunalialia ovyoovyo balaaSii mnaiheshimu pesa ya mwanaume na sio kwamba mnampenda huyo mwanaume
Ooooh ahsanteee dea.Ah umepatia
Kiswahili ndo lugha ya taifa usiwaze dear




Leo umegeuka? Si mnasema utamu mnao wenyewe kwetu mnafata.....malizia hapoUtamu gani wakati utamu unao mwenyewe kwenye hiyo mbususu yako
Wee usilete story hapa....utafiti umeshafanywa mara kibao na number one coz ya marital problems ni money.Unalambwa vizuri tu..
Pesa ni extra japo ina umuhimu wake kwa kiasi fulani .
Ni minoriity so we dnt work with exceptionsWapo mbona tatizo mnakariri.
Weee huyo mwanaume niwe simpendi na nshamchoka labda lakini hivi hivi hapana nitauguaUnaniambia "mme wangu huko uliko najua kuna wanawake wengi wazuri kuliko mimi, najua unatafuta na utakaa muda mrefu, nilikuwa nakuambia tu kama ikitokea unahitaji mwanamke nimekupa ruhusa......lakini...."

Kila kiumbe ana utamu wake bwana kwenu tunafuata utelezi tuuLeo umegeuka? Si mnasema utamu mnao wenyewe kwetu mnafata.....malizia hapo
Sijawahi kukuta live na sitaki niliwahi kukuta sms tu tangu hapo nikasema sishiki simuya mtu na Sina huo mda muhimu tuheshimiane na nikikukuta mapenz yameisha Sina huo uvumilivu Yan niskufatilie alafu nikukute maan yke unanionyesha dharauAisee Mungu atusaidie. Una hiyo experince mama ya kumkuta mtu live anacheat???
Basi itakuwa wanawapelekea moto vilivyo na uhandsome waoHamna kitu km icho Kuna wanaume jmn unapenda tu utake usitake sijui wanatushikaga wapi awe na hela au Hana labda ukose iyo bahati😁 Ila kunawanaopendwa bhna serious na tunalialia ovyoovyo balaa
Wale wanaume wenye 'mihela' na wanagongewa wake zao na vijamaa hata havieleweki nao issue ni mkwanja?Wee usilete story hapa....utafiti umeshafanywa mara kibao na number one coz ya marital problems ni money.
Sababu namba moja ya mke kuchepuka ni mwanaume kukosa pesa. So usijidanganye kabisaaa.
Mfano rahisi tuu kwenye nyumba baba akikosa hela tuu wote humo ndani mnanuniana ata watoto wanamuona baba boya tuu
Sikupingi huwa inatokea unampenda mtu unconditionally..Hamna kitu km icho Kuna wanaume jmn unapenda tu utake usitake sijui wanatushikaga wapi awe na hela au Hana labda ukose iyo bahati😁 Ila kunawanaopendwa bhna serious na tunalialia ovyoovyo balaa
Utelezi ndo muupakie mkongo🤣🤣🤣Kila kiumbe ana utamu wake bwana kwenu tunafuata utelezi tuu
KabisaSikupingi huwa inatokea unampenda mtu unconditionally..
Turudi kuleeeee eden kupata jibu la swali lako.....je mwanamke alikuwa hajapewa kila kitu lakini akadanganyika kwa kitu kidogoWale wanaume wenye 'mihela' na wanagongewa wake zao na vijamaa hata havieleweki nao issue ni mkwanja?
Si ndo hapo km mapenz ni hela hebu akamuulize bill gate kilichomkuta 😆Wale wanaume wenye 'mihela' na wanagongewa wake zao na vijamaa hata havieleweki nao issue ni mkwanja?
Wee usilete story hapa....utafiti umeshafanywa mara kibao na number one coz ya marital problems ni money.
Sababu namba moja ya mke kuchepuka ni mwanaume kukosa pesa. So usijidanganye kabisaaa.
Mfano rahisi tuu kwenye nyumba baba akikosa hela tuu wote humo ndani mnanuniana ata watoto wanamuona baba boya tuu