Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Ni kweli usemacho mkuu.Ukikaa barabarani gari nyingi ni 40million kushuka chini ndio zimejaa hapa Tanzania. Na wengi wanachukua Auction grade 3.5 , 4 wachache na kushuka chini, zilizo 4.5 na 5 kipengele kwa wengi bei unakuta zimesimama.. Na wengi wananunua magari ila uwezo wa kuyatunza bado hata hizi hizi za 15 millions bado zinasumbua watu kuzitunza




