Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen jirani Pasta
Baraka za walio tutangulia muhimu sana, hapo walipofika kuna neema ya Mungu imewafikisha . Inapotokea akakubariki anaruhusu neema ile ile iliyo mvusha ikuvushe na wewe.

Baraka za wazee ( wakubwa Mungu huzieshimu sana wanapoziachia na huwa zina nguvu sana) , Jakobo alibariki nyumba ya Farao na ile baraka ili work kwa kina Farao ( lineage yao yote ) hadi yule Farao wa mwisho unaweza tazama picha ya Farao ila alikuwa vile kwasbabau Jakobo alibariki. ✍️✍️
 
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii bongo movie imenichekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Huyu dada analalamika kero zake,anasema nimeumia sana shemeji..
Kaka anasema maeneo Gani?umeumia wapi?[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3064][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1751]
IMG_20220516_224801_757.jpg
IMG_20220516_224808_227.jpg


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom