Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Nitakufundisha,usiogopeHiyo toka tumboni mwa mama sijawai onja hadi asahivi.. nyie chapeni tu 😅😅😅
Nitakufundisha,usiogopeHiyo toka tumboni mwa mama sijawai onja hadi asahivi.. nyie chapeni tu 😅😅😅
Sawa mkuuMkuu kama Dr . Dree kuna picha yake moja acha niicheki hapa
Mama Junia [emoji7]
Barikiwa mnoo katibu.🙏!Kwa heshma na taadhima naomba Leo hakutakuwa na kikao naomba kila mtu awe huru wa kukaa akae wa kuzunguka majukwaa mengine hewaraa!!, ni hayo tu 🤣 🤣👨🏫🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Duniani wawili wawili banaaa🏃♂️🏃♂️Weee umekaimu unatka umpite mwenyekit sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shukrani sana mdogo wangu... Sasa naweza kupumzisha fuvu langu.!!!🚶🚶
NIkuone kwanza mwanafunzi wanguAdimu Sana sasa mbna emoj mwalimu unapumua kweli
Wewe ni 🔥🔥🔥🔥
Bado sijachukua [emoji1751]Zimekua haraka
Zile products ulichukua?
Nakutumia kichekesho saivi😂😂😂😂 nina stika mpya
Nasubiri unichekeshe n kichekesho kipya
Auntie wa JuniaMama Junia [emoji7]
Duh[emoji1787][emoji1787]
Ulale salamaShukrani sana mdogo wangu... Sasa naweza kupumzisha fuvu langu.!!![emoji124][emoji124]
Bado sijachukua [emoji1751]
Nakosa muda wa kwenda mjini
Vile vibutu nilisuka vimesaidia kidogo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app