Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuombe uzima Baba Mchungaji. Mengine yote ni madogo...

Tusimame katika haki; na tuombe Mungu wetu Asituache. Tusaidie wenzetu wenye shida tunapoweza. Tuombe msamaha tukikosa (haijalishi kama tutasamehewa ama la!) na siku yetu ikifika tuondoke kwa amani

Ungali mdogo sana lakini kwa muda mfupi niliokufahamu hapa you are going places - not only materially but also spiritually. The devil will throw every type of weapons at you lakini kwa Neema za Mungu utamshinda na kufikia destiny yako.

Barikiwa sana Baba Mchungaji
Amen.

Ni neno zito sana kwangu la baraka sijalichulia kiwepesi. ( Kuna hali imekaa sawa ndani yangu kwa hili neno )

Nilifundishwa na mwalimu wangu mmoja, umuhimu wa maombi na baraka kwa mtu yoyote alie kutangulia anapiziachia kwa namna yoyote ile.m, ikiwa unataka maisha marefu , mafanikio ya mwili nk, For me hili ni neno la kibanii kwangu na ulichosema naamini umeandika prophetically 🙏🙏🙏🙏🙏

Sina la kuongea , ila kila ulichoa andika kitatokea..

So will My word be which goes out of My mouth;
It will not return to Me void (useless, without result),
Without accomplishing what I desire,
And without succeeding in the matterfor which I sent it.

🙏🙏🙏 Amen
 
Amen.

Ni neno zito sana kwangu la baraka sijalichulia kiwepesi. ( Kuna hali imekaa sawa ndani yangu kwa hili neno )

Nilifundishwa na mwalimu wangu mmoja, umuhimu wa maombi na baraka kwa mtu yoyote alie kutangulia anapiziachia kwa namna yoyote ile.m, ikiwa unataka maisha marefu , mafanikio ya mwili nk, For me hili ni neno la kibanii kwangu na ulichosema naamini umeandika prophetically

Sina la kuongea , ila kila ulichoa andika kitatokea..

So will My word be which goes out of My mouth;
It will not return to Me void (useless, without result),
Without accomplishing what I desire,
And without succeeding in the matterfor which I sent it.

Amen
Amen!

Amen!

Amen!

Hapo lazima upige nduruu gari bovu, utamu wa RR iwe within warranty kitu ambacho bongo ni rare sana.
Ukikaa barabarani gari nyingi ni 40million kushuka chini ndio zimejaa hapa Tanzania. Na wengi wanachukua Auction grade 3.5 , 4 wachache na kushuka chini, zilizo 4.5 na 5 kipengele kwa wengi bei unakuta zimesimama.. Na wengi wananunua magari ila uwezo wa kuyatunza bado hata hizi hizi za 15 millions bado zinasumbua watu kuzitunza
 
Amen.

Ni neno zito sana kwangu la baraka sijalichulia kiwepesi. ( Kuna hali imekaa sawa ndani yangu kwa hili neno )

Nilifundishwa na mwalimu wangu mmoja, umuhimu wa maombi na baraka kwa mtu yoyote alie kutangulia anapiziachia kwa namna yoyote ile.m, ikiwa unataka maisha marefu , mafanikio ya mwili nk, For me hili ni neno la kibanii kwangu na ulichosema naamini umeandika prophetically 🙏🙏🙏🙏🙏

Sina la kuongea , ila kila ulichoa andika kitatokea..

So will My word be which goes out of My mouth;
It will not return to Me void (useless, without result),
Without accomplishing what I desire,
And without succeeding in the matterfor which I sent it.

🙏🙏🙏 Amen
Amen jirani Pasta
 
Ooh wengi wanafumua
Maana si kwa maumivu yale .. sema tunakaza tu wengine .
Yan acha tu dadaangu alipumzishwa hospitali alienda anahoma dokta akampa kitanda apumzike kupima hmna homa dokta akjiongeza akimuanglia kichwan kichwa kimewamba akachukua mkasi akakata kata nywele akamwambia aya pumzika kidogo tutaendelea na vipimo alivoruhusiwa akakta na nywele kabisa zilizobaki Uzi uheshimiwe
 
Lenie
0AED0A80-498D-4A67-8D00-F9D37865FA67.jpeg
 
Back
Top Bottom