Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Waoooo... unanitoa udenda tuu.. mwisho nianze safari ya kuja huko π π π π naomba muwaani hiyo πππ
Waoooo... unanitoa udenda tuu.. mwisho nianze safari ya kuja huko π π π π naomba muwaani hiyo πππ
Weee mtoto wa kishua unaona ajabu humu kupata hewaaa π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή hapa baridi kweli kweli natamani nimkumbatie mtu sema vyanzooo sasa ndio tafraniii π₯Ήπ₯Ήπ₯Ήπ€£π€£π€£ humo unapata hewa ya kutosha kweli jamani
Nije πππ usimalize asaaa
Na ni tamu kweli kweli kwa sie wapenda chai π€ Njoo nikununulie πΆ za kwako.Waoooo... unanitoa udenda tuu.. mwisho nianze safari ya kuja huko π π π π naomba muwaani hiyo πππ
ππππ itakuwa domo mzitooo . ajioneee kwa macho aombe account number na swiftcode ushangaeee mzigoo huo hadi TRA wanakuja kukuhojiπ€£π€£π€£π€£π€£
Si aulize tu π
πππ asahivi nakuja wacha nitumie technojia ya sumbawangaNa ni tamu kweli kweli kwa sie wapenda chai π€ Njoo nikununulie πΆ za kwako.
Kapot kamejaa tele ππNije πππ usimalize asaaa
πππππππππ itakuwa domo mzitooo . ajioneee kwa macho aombe account number na swiftcode ushangaeee mzigoo huo hadi TRA wanakuja kukuhoji
Umenitamanisha, nisije ahirisha safari lengwa nikajikuta huko π€π€π€π€π€ ila inabidi tuanze fikiria kununua boti letu eeh .. any time unaamsha au ki private jet eehKapot kamejaa tele ππ
Angalia usidindoke baharini tu πππππ asahivi nakuja wacha nitumie technojia ya sumbawanga
πππ nimeomba statement ya mwezi wa kwanza hadi sasa hivi naona hajajibu, kushindwa ku submit basi ni anakuwa kala KO moja kwa mojaπππππ
Embu mfanyie vetting alafu uniambie jinsi yaku-procceed π€£π€£
Kweli kabisa!!!! Hata kadogo kadogo tu hivi π€π€π€Umenitamanisha, nisije ahirisha safari lengwa nikajikuta huko π€π€π€π€π€ ila inabidi tuanze fikiria kununua boti letu eeh .. any time unaamsha au ki private jet eeh
Hmmm π₯΄π₯΄Kongole sana kwake huyu mwamba na mwenzake yule; tungesafishia macho wapi
ebu angalia hutu Offshore Seamen aje atupe makaridioKweli kabisa!!!! Hata kadogo kadogo tu hivi π€π€π€
πππππ hii nayo akishindwa ndio basii tenaaaMwambie hata kama hii tu inatosha ππView attachment 2226607
Mashaallah mtoto umependeza asubuhMonday mihangaiko imeanza
Natumain mnasikunjema vipenziView attachment 2226636

Embu nitumie hii picha pm humu Sina bundleMonday mihangaiko imeanza
Natumain mnasikunjema vipenziView attachment 2226636