Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwenzake huyu Infiniti...

Yeah! Mibaraka na iendelee....

Fortnox wapi? I hope hajambo huko aliko. Ngoma zake zote mbili nazikubali kinyama yaani...
Infiniti habari ingine imekaa kibabe sana nayo.. hapo inabidi Bwana atendee muujiza mbele itangulie RR moyaaa hivi alaf FJ then Infiniti mambo yanakuwa 🔥🔥🔥

Fortnox majukumu ya kitaifa itakuwa yame mkamata.. anaonekana kwa kuvizia vizia
 
Na hapo likihaibika anatoka anatangaza RR ni gari mbovu sana, wanatukosea sana.
😅😅 Buyer wa kwanza katoa 400 millions, anakuja mtu gari hiyo hiyo anachukua kwenye mnada kwa 40million, unafikiri ataweza sasa kuhudumia hapo lazima apige mayoyeee 😅😅😅 Zisingekuwepo namba A zinadunda humu
mitaani kama mabovu
 
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Ulipendeza

Mimi naona kama mzigo...
Ngoja nijarubu makubwa zaidi..hizo bado naona ndogo..nitachoka mapema maana najisuka.

Ooh thank you ... Jaribu makubwa pia
Nishavizoea na mwaka huu sijasuka vitunguu

Hizi si nyingi ona hapo kwenye kidoti hazijaa unaweza hadi ziachia hapo .
 
Infiniti habari ingine imekaa kibabe sana nayo.. hapo inabidi Bwana atendee muujiza mbele itangulie RR moyaaa hivi alaf FJ then Infiniti mambo yanakuwa [emoji91][emoji91][emoji91]

Fortnox majukumu ya kitaifa itakuwa yame mkamata.. anaonekana kwa kuvizia vizia
Tuombe uzima Baba Mchungaji. Mengine yote ni madogo...

Tusimame katika haki; na tuombe Mungu wetu Asituache. Tusaidie wenzetu wenye shida tunapoweza. Tuombe msamaha tukikosa (haijalishi kama tutasamehewa ama la!) na siku yetu ikifika tuondoke kwa amani [emoji1545][emoji1545]

Ungali mdogo sana lakini kwa muda mfupi niliokufahamu hapa you are going places - not only materially but also spiritually. The devil will throw every type of weapons at you lakini kwa Neema za Mungu utamshinda na kufikia destiny yako.

Barikiwa sana Baba Mchungaji[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
1652727809426.png
 
Wow; AMEN.
 
Back
Top Bottom