cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 188,000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umwambie anitunzie, mwenye saccoss amechanga na rambirambi, hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umwambie anitunzie, mwenye saccoss amechanga na rambirambi, hahahaha
CBG anasoma hapo sua kozi kadhaa, ikiwepo animal science.. akakomae akipata kuna kozi zake hapo sua za degree zitamgonja 😅😅Jaman Ualimu nawee, kwa HKL hapana. Aseeeh. Km vipi aende private akasome PCB.
Mzee baba wangu alisomaga hiyo KLF alikuwa anakosoa kweli English yangu hadi nilikuwa sitaki kabisa kuongea .. hata utamkaji ukitamka isivyo sawa anaanza mada au ananipa kazi ya kutafuta mambo ya kifaransa yaani 😅😅😅Tabora boys hakna KLF, iko Milambo hiyo comb. Waziri Bashungwa leo kafafanua hakna kubadili comb wala shule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora hivyooo. [emoji23][emoji23][emoji23]CBG anasoma hapo sua kozi kadhaa, ikiwepo animal science.. akakomae akipata kuna kozi zake hapo sua za degree zitamgonja [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka mno.Mzee baba wangu alisomaga hiyo KLF alikuwa anakosoa kweli English yangu hadi nilikuwa sitaki kabisa kuongea .. hata utamkaji ukitamka isivyo sawa anaanza mada au ananipa kazi ya kutafuta mambo ya kifaransa yaani [emoji28][emoji28][emoji28]
Nawajua CBG kibao walienda toboa hapo SUA sasa hivi wana kazi zao nzuri tu.. ina wigo mpanaa sana .. ila hata HGL ipo fresh sema hofu ya madogo mie leo nikzirudi shule nasoma kabisa HKLBora hivyooo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wao walikuwa wanajua sana English sasa mie naongea pumba za english basii inakuwa taabu, nilianzaga kidogo kutamba english nilipokuwa nafanya kazi na wachina na mie nikawa navimbaaa maana hatuchekani 😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una utani wee, hauko serious, eti HKL khaaah.Nawajua CBG kibao walienda toboa hapo SUA sasa hivi wana kazi zao nzuri tu.. ina wigo mpanaa sana .. ila hata HGL ipo fresh sema hofu ya madogo mie leo nikzirudi shule nasoma kabisa HKL
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatareee sana.Wao walikuwa wanajua sana English sasa mie naongea pumba za english basii inakuwa taabu, nilianzaga kidogo kutamba english nilipokuwa nafanya kazi na wachina na mie nikawa navimbaaa maana hatuchekani [emoji28][emoji28][emoji28]
Vijana wasomi wengi wana soma combination kwa ushawishi wa mazingira ya maisha na ajira ila uhalisia combination yoyote unatoboa.. wengi wanachagua haya kwa macho ya ajira na urahisi wa maisha kitu ambacho sio sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una utani wee, hauko serious, eti HKL khaaah.
mie nilikuwa naona nimetema yai kumbe mashuduu mbele ya mwenzangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatareee sana.
Naniliu[emoji848]Kwani humjui??
Au unataka kunichosha tu[emoji16]
Mbona kamheshimisha sana tu
Huo mzigo mang'anyuHuna lolote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani umeshawahi kwwli Anne [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Pale Milambo[emoji848]24/7/2017 saa 11 jioni, siku niliyo report shule kuanza masomo ya advance.