Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Ahaa kumbe mtandaio huo hapo sawa!!Niweke?
Asubuhi ulitupia picha umekaa,,umejifunikaa mtandio..shepu Kwa chini linaonekana.
Ahaa kumbe mtandaio huo hapo sawa!!Niweke?
Asubuhi ulitupia picha umekaa,,umejifunikaa mtandio..shepu Kwa chini linaonekana.
Huku vyakula vingi sana hadi raha.Ehh huko mna raha .. vyakula vingi hadi raha
Hahahaaaa..bado kamandaBoss ledi
Nikae mkao
Ama bado![]()
Ooh vyema .. viazi vitamu msimu wake ni lini ?
ChakoriiSo big-iyaz
Tatzo baridi, utaniazima ule mkoti wako mkubwa mkubwa.karibuuu basi![]()
Na ile ya shepu la kuvunja kitannda ile ya surualiAhaa kumbe mtandaio huo hapo sawa!!
Anne wewe Ni kukua ama ndio kuvurugwa!!!?? Uone pichaz zawatu kibao upite kimya kimya kweli kabisa Saint Anne wewe kabisa???? 🤔🤔🤔🤔🤔🤔utakua uliiona hio ya asubuhi!!Ni muongeaji aliyekubuhu huyo wige![]()
Ndoo?
Ukubwa dawa😂Anne wewe Ni kukua ama ndio kuvurugwa!!!?? Uone pichaz zawatu kibao upite kimya kimya kweli kabisa Saint Anne wewe kabisa???? 🤔🤔🤔🤔🤔🤔utakua uliiona hio ya asubuhi!!
Weeeeeeeh usimuite huyo bana khaaa!
Litakuja hapa kuropoka tu loooh
Sent using Jamii Forums mobile app



siamini kama ulikuepo...ndio usitoe hata like Kimya kimya ane wewe naekujua??? Siaminiiii...Na ile ya shepu la kuvunja kitannda ile ya suruali
Imani yangu inakataa kabisa!Ukubwa dawa😂
Nimekua siku hizi🤣
Najifunza uvumilivu
Owky. Wewe imekupendeza imejaa mkononi.Unaweza,ila sidhani kama itakupendeza..
Naona kuna saa nyingi za kike na maridadi sana.
Shukrani, nakaribia.
Nimeona na ya walebanon wawili wakiwa wamevaa cadet🏃🏾♀️siamini kama ulikuepo...ndio usitoe hata like Kimya kimya ane wewe naekujua??? Siaminiiii...
Bado masaa mangapi Bosi Ledi uanze kurusha mitandio? Umeahidi kuwa leo itakuwa balaa!siamini kama ulikuepo...ndio usitoe hata like Kimya kimya ane wewe naekujua??? Siaminiiii...
DahImani yangu inakataa kabisa!
Hahahaaaa... mida mida msukuma!! Ila sina hata mpya eti!Bado masaa mangapi Bosi Ledi uanze kurusha mitandio? Umeahidi kuwa leo itakuwa balaa!