Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Yangu tu ilivunja chaga moja wakati wa mtanange na yule blaza.Umeshashindikana
Ulisikia wapi
Kuna shepu za kuvunja tendegu[emoji849][emoji1787][emoji2089]
Yangu tu ilivunja chaga moja wakati wa mtanange na yule blaza.Umeshashindikana
Ulisikia wapi
Kuna shepu za kuvunja tendegu[emoji849][emoji1787][emoji2089]
Weee hizo tipper zinahitaji mwili mwembamba ufike vizuri kisimani[emoji1787][emoji1787]hahahaaaa.... kwahuo mwili haziwezi!!
EbuYangu tu ilivunja chaga moja wakati wa mtanange na yule blaza.
Weee hizo tipper zinahitaji mwili mwembamba ufike vizuri kisimani[emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kwani humjui??Ebu
Mtag nimpe heko zake
Nimekupata vizuri boss!!
Junia leo amenituliza sana.Saint Anne tubariki kidogo mdogo wangu kimya sana!!
Acha hizo nogesha hizi story mdogo wangu naona story zinaenda kavu kavu!Junia leo amenituliza sana.
Hataki kabisa niinue simu kupiga picha.
Huyu Junia kila siku karoka wapi?Acha hizo nogesha hizi story mdogo wangu naona story zinaenda kavu kavu!
Ann Ni leo atakua hayupo vizuri kiakili ! Hajachangamka kabisa yani!!
Tumebaki wachache..weka lile nundu basi[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Ann Ni leo atakua hayupo vizuri kiakili ! Hajachangamka kabisa yani!!
Huyu cocastic amekuwa korofi sana siku hizi[emoji28]cocastic utafungwaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848]!!
Salute sana my lord..[emoji3577]
Nipo nasinzia sinzia hapa... nishatupia mkuu!!Tumebaki wachache..weka lile nundu basi[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Daah mkuu hebu heshima kidogo basi?Tumebaki wachache..weka lile nundu basi[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Uzuri wa coca hatishiwi nyau[emoji23][emoji23][emoji23]cocastic utafungwaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848]!!
Salute sana my lord..[emoji3577]
Kwahilo Namkubali sanaa haogopi mtu yule