Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uko sahihi mjukuu. Ni Milambo...

Kama hakuna kubadili kombinesheni hapo sasa kasheshe! Ni kwenda private tu sasa...au kwa vimemo kutoka Wizarani huko huko!
Wanabadili sana, nakumbuka mwaka wetu sie ndalichako alikataza pia, ila mbna tulivyofika shule wanafunzi wengi, walibadili tena mnooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee HGL? hauko serious kabisaa.
Zamani watu walikuwa wanasoma hii (pamoja na HGK na KLF) wakitoboa first class kali ya point 3-5 wanakwenda Mlimani kusoma sheria. Sasa hivi hawa wanaishia kufanya kazi gani mbali na ualimu, polisi na pengine jeshini wakibahatisha?
 
Back
Top Bottom