Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Nipo poa vipi wewe
Ooh noma sana
Nipo poa vipi wewe
Sasa HGL?Halafu baadaye atasomea Nini?
CBG inauwaga malengo ya wengi huko mbele...anakuwa hajafanya lolote bila phys.





Hadi zile za uchebe?Sina picha, sipigi picha kabisa yani..sura ishajichokea pichs hazitoki tena
Akasome,Elimu yenyewe bure hii,sasa unategemea nini??sasa huyu dogo anavyolia sasa had huruma lol.
Tena kapelekwa shule nzuri tyuuh, ila HGL.
Watu weweeee........Boss @Eli79 simu mbovu ndugu!View attachment 2222211
Bora hata HGL.Sasa HGL?
Bora CBG atasoma ualimu, chem na bios ajira wazi wazi tena mapemaaa.
Hata huyu nimemuambia akabadilishe, kapangwa MINAKI.Dogo langu walimchagulia HKL uzuri shule aliyepangiwa akaenda badilisha comb
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiyanani😂Boss @Eli79 simu mbovu ndugu!View attachment 2222211
Mkuu, nimepiga salute, huu mzigo ni next level wallah. Hicho kiuno lol.Boss eli 79 simu mbovu ndugu!View attachment 2222211
Hakuna kitu tena...Hadi zile za uchebe?
Oooh!Si waziri kakataa kasema hakna kubadilisha.
Jaman Ualimu nawee, kwa HKL hapana. Aseeeh. Km vipi aende private akasome PCB.Bora hata HGL.
CBG atalia nayo..wanakosaga Cha kwenda kusoma chuo.
Si ndo walipewa nafasi za kuomba comb mtandaoniOooh!
Nilikuwa sijaisikia hii.
Ni maagizo ya Prof. Mkenda huyu huyu mpya au ni mama Ndalichako aliyaacha?
Kuna dogo alipangwa KLF Tabora Boys mwaka jana/juzi lakini ndoto yake ilikuwa ni kada za afya na waliweza kubadilisha akaenda Tosamaganga PCM/PCB sikumbuki vizuri...
Nikuroge wewe
Anabadidisha vizuri tu,aache kuliaHata huyu nimemuambia akabadilishe, kapangwa MINAKI.
Tabora boys hakna KLF, iko Milambo hiyo comb. Waziri Bashungwa leo kafafanua hakna kubadili comb wala shule.Oooh!
Nilikuwa sijaisikia hii.
Ni maagizo ya Prof. Mkenda huyu huyu mpya au ni mama Ndalichako aliyaacha?
Kuna dogo alipangwa KLF Tabora Boys mwaka jana/juzi lakini ndoto yake ilikuwa ni kada za afya na waliweza kubadilisha akaenda Tosamaganga PCM/PCB sikumbuki vizuri...






😜😉Watu weweeee........
💕💕🙌🙌
Basi anavyolia, watu tuna mueleza hata haelewi anasema wakikataa je.Anabadidisha vizuri tu,aache kulia
Wenzie wamepata 1ya7 na wameswagwa kwenye mavyuo yasiyoeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app





