Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😅😅😅 Hii cadet zangu hizi badae nitarusha paka juuu shangazi mahondaw
F1A27E72-6AB3-447C-BA13-8096FEFBA281.png
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Hii cadet zangu hizi badae nitarusha paka juuu shangazi mahondaw View attachment 2221479
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] wee hiyo cadet hata kumodolize umeshindwa?

Wakat wa upepo inapuga na kupepea km mfuko unaotolea unga kutoka kwa bomba la juu la mashine, hasa ya yale mashine ya kusaga ya kutumia Diesel.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Leo shangazi umepoaaa.

Are you OK?

Isije ikawa limtu huko limetuumizia shangazi yetu mpole asiye na makuu jamani. Tutalibonda mpaka liombe poo! [emoji51][emoji51][emoji51]

[emoji2][emoji2][emoji2] mjombaa

Halafu limtu lenyewe nilisukuma
linagubuu...

Sasa sijui mtabondanaje ndugu[emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] wee hiyo cadet hata kumodolize umeshindwa?

Wakat wa upepo inapuga na kupepea km mfuko unaotolea unga kutoka kwa bomba la juu la mashine, hasa ya yale mashine ya kusaga ya kutumia Diesel.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😌😌😌😌😌 acha basi
 
Back
Top Bottom