Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,194
- 183,015
Hivi sikuhizi hawaendi jeshini!!??? Wenye ndugu/ wazazi wanaojiweza walau wataangalia namna ila wenzangu namie hapa wasipojiongeza kutafuta miambili miatatu watachakaa kitaa balaa![emoji3][emoji3] Marahabaa toooo
Hkizo nawaonea sana huruma maana nchi na mifumo yake haijawaandalia pa kuwaweka zaidi ya kuwazalishaaa tu kwange kitaaa