Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna vyakula ukila usiku ni kama unajipa tiketi ya kuota ndoto mbaya usingizini.
PXL_20220511_215538632.jpg
 
Mzee Baba umekidhi vigezo vyote vya wadada wa hapa jf

Tall,dark handsome na kikubwa zaidi umepiga shati jeupe na umechomekea[emoji28][emoji28]

Kuna Uzi humu ulipostiwa juzi wadada wakipenda staili yako ya uvaaji

ngoja waje....

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom