cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Safi, cadet ziko poa sana.Suruali zanguuu zoote kaki na ni cadet huwezi jua kama nabasirisha au kauka ni kuvae, mashati yangu 99% meupe la blue ni moja tuuu.. sipati hata shida kubadilisha nguzo maana ni zile zile
![]()
☺️☺️☺️☺️☺️☺️Ndyoooooh.![]()
Hapo sawa, nilidhan hupend kabisa shati za mikono mirefu.Aaaaaah labda fulan hivi la kijanjaa.
kila siku kaki na white 😀😀😀 kama masharti nata ni shift nianze green mpauko na blue
Ooyeahhhh thats casual ... sasa wengine ofisini hawawezi kuvaa hivo! pia Inategemea na ofisi
Kheeeh kwan hii. Picha inahusiana nn na miaka yangu?
Aaaaah sasa ndo achomekee jaman?Thats casual ni ... sasa wengine ofisini hawawezi kuvaa hivo! pia Inategemea na ofisi





Kwenda na hata ukivaa ivo una miaka 40 bado utakua na mid 20 kwenye mambo mengineKheeeh kwan hii. Picha inahusiana nn na miaka yangu?
Huyu wa pichan, anaelekea 30. Kwaa taarifa yako.
🤣🤣🤣😂😂😉😂😂🤣🤣!Aaaaah sasa ndo achomekee jaman?![]()
kila siku kaki na whitekama masharti nata ni shift nianze green mpauko na blue






Khaaaah.Hupendi shati nyeusi rafiki?kila siku kaki na whitekama masharti nata ni shift nianze green mpauko na blue
Wee mbna unachanganya madesa khaaa, unajua tunazungumzia nn hapa?Kwenda na hata ukivaa ivo una miaka 40 bado utakua na mid 20 kwenye mambo mengine
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Kwa mala ya mwisho nilivaa kitu cheusi 2018 😀😀😀 huwa nakuwa na season , sijui season ya black itarudi lini