Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Yupo kwenyeHivi chuchunge ni nani?
Simjui[emoji1787]
Senti tano
Ulishaiona[emoji848]
Yupo kwenyeHivi chuchunge ni nani?
Simjui[emoji1787]
Them clouds....
Them clouds....
Tranquility.....
The gift of being alive.....
To enjoy the simple wonders of the Grand Designer Himself [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ubwabwa bila mimba[emoji848]Si tulikubaliana ubwabwa kwanza nyie
Anne amesema mwezi huu kavurugwa ana sitiresi akili haijatulia kabisa.. hebu angalia namna mdogo wangu!!😜🤔Ubwabwa bila mimba[emoji848]
Haiwezekani
Nimempenda [emoji1787]
Byutifuuuu....
Aione wapi mtu wa 2004? [emoji16][emoji16][emoji16]Yupo kwenye
Senti tano
Ulishaiona[emoji848]
Kana maneno dah!Sawasawa mkurugenzi wetu meneja kitambi.
Aise sijamuona huku kama mwezi na nusu 🥺🥺Tupooo
Kumbe…hongeraAhsante kwa kunimiss mwaya nipooo
Mzee wa mchongo[emoji1787]View attachment 2218951View attachment 2218951
Unapokuwa Mzee unatakiwa kuongoza Kwa mifano Kwa wajukuu ili wapate vya kujifunza.
Hata miaka Ile Nchi imepigwa na Njaa ni Wazee ndiyo tulionja matunda na vyakula vigeni kabla wanafamilia wengine hawajala ili kama Kuna shida yeyote iondoke na Sisi kwanza [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Makinikeni nyote, Nchi inawategemea [emoji123]
Mimba ikiingia tu naitisha ubwabwa😎Si tulikubaliana ubwabwa kwanza nyie
Eeh hapo Uyole kwakoByutifuuuu....
I like quiet places....
Greenish.....
Exclusive....
Open space...
Just sitting there....
....and breeeeeaaaath!
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Hapa ni Mbeya au?
😃😃unapenda kupiga game weweUbwabwa bila mimba[emoji848]
Haiwezekani
Nimempenda [emoji1787]
Malambo aghenayaHivi vizee vya kizungu vimenipita kama vile nimesimama. Nimejaribu kuvifukuzia nikachemsha kifua kinabana. I have to up my jogging game....wiki mbili zijazo vikiingia tena kwenye anga zangu ndiyo vitajua havijui [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]
View attachment 2219040
Tupo hapa Jamani [emoji3059]Aise sijamuona huku kama mwezi na nusu [emoji3064][emoji3064]
Nyie wenye Malaika tayari ni uhakika mbonaMimba ikiingia tu naitisha ubwabwa[emoji41]
Huyo p ni nani mkurugenzi?Kana maneno dah!
Eti meneja kitambi!
Nakaombea Kamanda P akifanya yake kafutuke kanenepe mpaka kajishangae [emoji51][emoji51][emoji51]
(Kitambi cha kufutia simu muhimu [emoji16])
Kwa dada mkubwa tunakula kwanza ubwabwaUbwabwa bila mimba[emoji848]
Haiwezekani
Nimempenda [emoji1787]