Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
InawezekanaWe ulisikia wapi!
Unafikiri ni wa mchongo mpka ashindwe.[emoji1]
Akawa anakula chips mayonaiz[emoji2369]
Ushauri tu[emoji1787]
Halafu najitolea[emoji2089]
InawezekanaWe ulisikia wapi!
Unafikiri ni wa mchongo mpka ashindwe.[emoji1]
Ulijuaje[emoji848]Utakuwa huna hela wewe.pole
[emoji1787]Hivi Pep siku hizi kapotelea wapi huyu mtu?anamuacha lastboni anatusumbua huku
Jamani unataka ninenepe mpaka nipasuke? 🙈🙈Lizzy acha utani tafadhali
[emoji2089][emoji2089]Cvc cc tbbu it 7uuuini
[emoji7][emoji7]Selfikaaaq
Punguza story[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2219339
Kichaaa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]
Official[emoji3590]🤍Selfikaaaq
Punguza story[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2219339
Nimemmiss sana.Hivi Pep siku hizi kapotelea wapi huyu mtu?anamuacha lastboni anatusumbua huku
Ndio tunamalizia kupiga goti.Hallelujah
Kabla sijamaliza?Haya chap kunywa maji ukalale
Si ni sisi au?Na hata hujui ni nani unamzungumzia naona unaruka ruka tu.
Punguza wenge cha ubishi[emoji57][emoji57][emoji57]
Wachaa[emoji1787]Nimemmiss sana.
Akija hapa natulia tuliii nachat naye tu,,,wengine wote siwaoni.
Hebu muweke hapa mtani wangu chuchungeKweli wewe kabinti
Mmemaliza mitihani eeh[emoji848][emoji1787]
Wifi ataimba pambio hadi achokeBeba mimba
Sio mnakaa miaka dahari
Tumbo nehi
Halafu ma wifi waanze kebehi zao
'Umekuja kujaza choo tu hapa'
'Wewe na aliyekuoa mna jinsia moja'
'Mbona hatuoni hata kulamba limao'
Nasemaaa nyie mabinti bebeni mimba
Kichaaa wewePep (o)
Huyu angalau huwa namsikiliza humu[emoji3059]Wachaa[emoji1787]
Alivyo na masifa sasa
Kwa comment hii
Sasa hivi anatia timu
Chonkaa[emoji1787]Wifi ataimba pambio hadi achoke
Tunakula kwanza maisha...lazima tuzegemuane vya kutosha kabla hatujaanzaa kutumikia watoto.
Ndio naelekea kwenye kushindikana.Chonkaa[emoji1787]
Umeshashindikana haki