Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Ukikipata kimoja wapo unatulia tuli🤪🤪Viambie mie navisalimia hivyo vizee vya kizungu. [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Ukikipata kimoja wapo unatulia tuli🤪🤪Viambie mie navisalimia hivyo vizee vya kizungu. [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Naonaga uzushi, sipendi hata kidogo 😅😅 sio nzuri kwanzaNa wewe hutakagi sympathy kama mimi? 😐
Nikubashie kipi sasa 😅😅Hivi kumbe ehhhh???
Unibakishie siku moja nione....😁
Kuna mtu nimemmiss jaman humu ndani Sijui kapotelea wapi😔😔
Kweli[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha uongo wako lol.
TupoooKuna mtu nimemmiss jaman humu ndani Sijui kapotelea wapi😔😔
AiseeHivi vizee vya kizungu vimenipita kama vile nimesimama. Nimejaribu kuvifukuzia nikachemsha kifua kinabana. I have to up my jogging game....wiki mbili zijazo vikiingia tena kwenye anga zangu ndiyo vitajua havijui [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]
View attachment 2219040
Noodles! [emoji39][emoji39][emoji39]Y.U.M.M.Y
Pole babu[emoji23]Hivi vizee vya kizungu vimenipita kama vile nimesimama. Nimejaribu kuvifukuzia nikachemsha kifua kinabana. I have to up my jogging game....wiki mbili zijazo vikiingia tena kwenye anga zangu ndiyo vitajua havijui [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]
View attachment 2219040
Hapa ni Misungwi. Kuna mwekezaji kaja amejenga haka ka enclave. Siku ukipita mitaa ya Rocky City nishtue tu mama Junia nikutembeze upaone [emoji1545]Aisee
Nilijua mkurugenzi unaishi burigi huko
We kwa mbio hunishindi halafu! [emoji16]
Kweli kabisaYa kwa mwanadamu haiwezekani, ila Kwa Mungu kila jambo lawezekana na hakuna neno gumu kwa Mungu
Hili tabasamu la huyu baba mmmmh🤷🏼♀️
Kwasababu kukimbia siwezi[emoji23],,,,,,maana ata rede raia walikuwa hawanitaki[emoji41]....mie walikuwa wananiita mchangiaji[emoji23]We kwa mbio hunishindi halafu! [emoji16]
Sawasawa mkurugenzi wetu meneja kitambi.Hapa ni Misungwi. Kuna mwekezaji kaja amejenga haka ka enclave. Siku ukipita mitaa ya Rocky City nishtue tu mama Junia nikutembeze upaone [emoji1545]
Hmmmm...nadhani unichagulie mwenyewe. Cha msingi isiwe seafood 🙂Nikubashie kipi sasa 😅😅
Asante kwa uzoefu[emoji2089][emoji1787]Safi. Nimehoji sababu naona sana kwa watu wengne, mwanaume akija na mwenza wake jamaa zake wanalala nje siku hiyo [emoji23] na hii si haki hivyo nilitaman kujua kwa upande wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app