Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,996
- 35,447
Kumbe ni Mr.kahawa [emoji1787] haya nimefuta kauli.Wee thubutuuu, unamjua huyo mtu? Anaweza kuwapangia hao wenzake kila mtu self container rooms, na akalipa miaka hata 5.
Kaamua tuu awe na company hivyo.
Uwezo anao sana huyo. Mr kahawa expensive. [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app