Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Anaongeaje kwenye senti sasa?Yupo kwenye
Senti tano
Ulishaiona![]()
Anaongeaje kwenye senti sasa?Yupo kwenye
Senti tano
Ulishaiona![]()
Anne amesema mwezi huu kavurugwa ana sitiresi akili haijatulia kabisa.. hebu angalia namna mdogo wangu!!![]()
Akishindwa kuingizaMimba ikiingia tu naitisha ubwabwa![]()
Pep (o)Huyo p ni nani mkurugenzi?
Mbona unamtaja sana?
Beba mimbaKwa dada mkubwa tunakula kwanza ubwabwa
Kweli wewe kabintiAnaongeaje kwenye senti sasa?


Na hata hujui ni nani unamzungumzia naona unaruka ruka tu.Tupo hapa Jamani![]()
Haya chap kunywa maji ukalaleNyie wenye Malaika tayari ni uhakika mbona
Naandaa ratiba zenu za ubwabwa,msitutanie.
HallelujahKwa dada mkubwa tunakula kwanza ubwabwa
We ulisikia wapi!Akishindwa kuingiza
Nijulishe chap
Nikufanyie namna
Kiroho safi
Utakuwa huna hela wewe.poleSana
Tena mno
Msimtishe mbabu wa watu jamani khaaa!Mzee wa mchongo
Unatakiwa ustaafu
Sio mnang'ang'ania maofisini
La mwisho si kwa umuhimu
Bado unapiga kavu
Sababu za kupima ni nini![]()
🤣🤣
Lizzy acha utani tafadhali