Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Usiku itapendezaulipo mwenge
Usiku itapendezaulipo mwenge
jirani yangu , akitoka tu kwake naona anapotoka lupitia dirisha![]()





aiseeeh msalimie sana, mama malezi.umeshindwa bakiza hata tutambi tukumi tu jamani 😌😌😌 nije nikombeleshe
😆😆😆😆toka lini umekuwa na speed kwenye kula jamani... si tulikubalina unakula kwa mwendo wa kinyongo na sharti kubakiza hata kiduchu tu 😅😅😅




We njoo nikupashie za kushiba kabisa....yanini kukomba bakuli.😁😁umeshindwa bakiza hata tutambi tukumi tu jamani 😌😌😌 nije nikombeleshe
Viambie mie navisalimia hivyo vizee vya kizungu.Hivi vizee vya kizungu vimenipita kama vile nimesimama. Nimejaribu kuvifukuzia nikachemsha kifua kinabana. I have to up my jogging game....wiki mbili zijazo vikiingia tena kwenye anga zangu ndiyo vitajua havijui
View attachment 2219040





Fan inaharibu mipango sasa tung'oe hiyo 😅😅😅😆😆😆😆
Nimekaa chini ya feni ikabidi nikimbizane na speed yake 🙂View attachment 2219037
Kubakiza/kumwaga siunajua ni dhambi?🤓
Tatizo unajitahidi, kwa Mungu huwa hatujitahidi, kwa Mungu huwa tuna jisalimisha na kufungua moyo na kukaa magotini pake ila kama unajitahidi ni ngumu kumuona Mungu, ila kama uta jilasimisha kwake Mungu anaujaza, niliondokewa na mzee baba, nili sturgle kichizi maana alikuwa kila kitu kwangu sijawai kupendwa duniani kama na mzee baba, zile moments ambazo nilikuwa nae zilikuwa zinanifanya hadi kama nachanganyikiwa so picha yake mda wote ilikuwa kichwani kila siku namuota hadi nilikuwa kama nimechizi sometime naongea mwenye... but msaada wa kiungu tu ndio ilitoa hapo maana sometime nilikuwa hadi nawish kufa.. Fungua Moyo kwa Mungu muambie umeshindea huwezi kitu simpe prayer ambayo ina imani inabadirisha kila kitu
cha kubakizwa huwa kinanoga hadi kisogoni 😅😅We njoo nikupashie za kushiba kabisa....yanini kukomba bakuli.😁😁
😅😅😅 na vyenyewe vitakuwa vime advance labda viamua kukuachia ushinde tuHivi vizee vya kizungu vimenipita kama vile nimesimama. Nimejaribu kuvifukuzia nikachemsha kifua kinabana. I have to up my jogging game....wiki mbili zijazo vikiingia tena kwenye anga zangu ndiyo vitajua havijui
View attachment 2219040
Toka nilipokuwa free kwenye nafsi yangu sipendi kabisa pole wala sioni tija yake.. nina rejoice kifo cha mzee baba pale nikumbukapo... mbengu isipo anguka na kuoza haiwezi zaaa tena 😅😅😅😅Ooh Asante sana
Nitazingatia hilo na pole sana pia kwa kuondokewa na mzee .
Mimi najisahau sana naomba roho mtataktifu aniongoze katika hilo
Unatafuta cha kukulea mjukuu wangu mtata?Viambie mie navisalimia hivyo vizee vya kizungu.![]()
Ooh hongera Uncle .Toka nilipokuwa free kwenye nafsi yangu sipendi kabisa pole wala sioni tija yake.. nina rejoice kifo cha mzee baba pale nikumbukapo... mbengu isipo anguka na kuoza haiwezi zaaa tena![]()
Ya kwa mwanadamu haiwezekani, ila Kwa Mungu kila jambo lawezekana na hakuna neno gumu kwa MunguOoh hongera Uncle .
Si rahisi hivyo
Hivi kumbe ehhhh???cha kubakizwa huwa kinanoga hadi kisogoni 😅😅
Nipo dear sina pakwenda.mji umekuwa wa gharama mno na pesa hakunadea upooo? Hivi akili zangu zina sett zenyewe, mnisamehe tyuuh.
Na wewe hutakagi sympathy kama mimi? 😐Toka nilipokuwa free kwenye nafsi yangu sipendi kabisa pole wala sioni tija yake.. nina rejoice kifo cha mzee baba pale nikumbukapo... mbengu isipo anguka na kuoza haiwezi zaaa tena 😅😅😅😅
🤪Hivi vizee vya kizungu vimenipita kama vile nimesimama. Nimejaribu kuvifukuzia nikachemsha kifua kinabana. I have to up my jogging game....wiki mbili zijazo vikiingia tena kwenye anga zangu ndiyo vitajua havijui
View attachment 2219040