Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi ndio huwa namwambia mama kuwa hivi ungeahirisha kunizaa sijui ingekuwaje!mama anacheka.
Maana mimi ni mtoto wa uzeeni aisee

Mwanangu mwingine wewe...[emoji2][emoji2][emoji2]

Uniite mama
 
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Aisee acha kabisa [emoji16][emoji16]nikikumbuka nacheka sana
Tulikuwa hatujapishan Sana na dogo tulikuwa tunapigana balaa yeye mkorofi mm nilikuwa kimya mno alafu huruma Sana lkn akiamua tupigane atakuchokoza Hadi mpigane [emoji28]

Na mkipigana mama anasema waacheni wauane ndugu hao msiwaingilie [emoji23][emoji23][emoji23]watu wanajaa nakumbuka tuliwah pigana nikabaki na bukta

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Huyu dada akawa anatuhadithia,wifi yake alibeba Tena mimba mtoto akiwa na miezi 6 ananyonya.
Alijifungua Kwa kisu.

Alipobeba hiyo mimba wakamwambia wewe inabidi uwahi tu kabla hata ya siku tukupasue....Cha moto alikiona..kidonda kibichii kinafumuliwa Tena uwii[emoji3064]

[emoji2302][emoji2302][emoji2302][emoji2302]
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Huyu dada akawa anatuhadithia,wifi yake alibeba Tena mimba mtoto akiwa na miezi 6 ananyonya.
Alijifungua Kwa kisu.

Alipobeba hiyo mimba wakamwambia wewe inabidi uwahi tu kabla hata ya siku tukupasue....Cha moto alikiona..kidonda kibichii kinafumuliwa Tena uwii[emoji3064]
Duh ni hatari[emoji24]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064] uwiii
Kwahiyo hadi mtoto anatoka[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Ndio unakomaa kusukuma lasivo unaua Mtoto weeee! Wakwanza nilijifungua kawaida sema nilikua nishapewa mbinu na marafiki... nilifumba mdomo nikashika/finya godoro mara kitanda huku nimefumba mdogo nagugumia ndani kwa ndani ...vile unavofumba nakugugumia ndani huku unavuta godoro kwanguvu inakusaidia kupush mtoto! Lakini uukiachia lazima upige makelele nguvu ya kupush inakua ndogo unaeza kaa muda mrefu!
 
Mwanangu mwingine wewe...[emoji2][emoji2][emoji2]

Uniite mama
Heee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe dada yangu bwana.

Mama yangu anaweza kuwa sawa na wako ,,ila pia mama yangu anaweza kuwa bibi yangu [emoji1787],huwa namwitaga bibi.
 
Aisee acha kabisa [emoji16][emoji16]nikikumbuka nacheka sana
Tulikuwa hatujapishan Sana na dogo tulikuwa tunapigana balaa yeye mkorofi mm nilikuwa kimya mno alafu huruma Sana lkn akiamua tupigane atakuchokoza Hadi mpigane [emoji28]

Na mkipigana mama anasema waacheni wauane ndugu hao msiwaingilie [emoji23][emoji23][emoji23]watu wanajaa nakumbuka tuliwah pigana nikabaki na bukta

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Khaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]eti wauane
 
Back
Top Bottom