Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,256
- 49,189
Yaan had uwape hela? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sanaa
Ukitaka wasikusumbue washikishe kidogo,watakudumia vizuri kabisa...
Ila private hospital manesi wanakuaga poa tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe dada yangu bwana.
Mama yangu anaweza kuwa sawa na wako ,,ila pia mama yangu anaweza kuwa bibi yangu [emoji1787],huwa namwitaga bibi.
Muhusika atakua anakusubiria nje shos![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzz na muhusika nataka awepo napomletea kibaby kid wake.
Tena anakua na babeee mwingne. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa kama una cheti cha kuzaliwaTukianza kutoleana vyeti vya kuzaliwa uzi utaganda...[emoji2][emoji2]
Yeah au za private unatoa zako mshiko wa maana unajifungua huku unabebelezwa kabisa ila serikalini mwee hawana muda wa kubembelezaYaan had uwape hela? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🚶♂️🚶♂️ mmh. PoleniNdio unakomaa kusukuma lasivo unaua Mtoto weeee! Wakwanza nilijifungua kawaida sema nilikua nishapewa mbinu na marafiki... nilifumba mdomo nikashika/finya godoro mara kitanda huku nimefumba mdogo nagugumia ndani kwa ndani ...vile unavofumba nakugugumia ndani huku unavuta godoro kwanguvu inakusaidia kupush mtoto! Lakini uukiachia lazima upige makelele nguvu ya kupush inakua ndogo unaeza kaa muda mrefu!
Acha tu ndugu alafu nikiwa nahasira sichelewi kulia yaani kulia ni sekunde na nikilia anakzia hapohapo mbna unalia sasa[emoji16]hasira zinapanda ukija kushtuka nimebaki na bukta ngumi juu juu [emoji1787][emoji1787]Khaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]eti wauane
Muite na mama malezi Heaven Sent aje aone nisivyokua mchoyo, maana leo kanisema sana mimi mchoyo hadi nimelia😭😭😭😭Nimeshakuja mie hapa.
Hawa wao wanajadili uzazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wee ntaomba nurse nae awepo.Muhusika atakua anakusubiria nje shos!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hana habare...
muwaheshimu na kuwapenda sana mama zenu kwakweli!🚶♂️🚶♂️ mmh. Poleni
Uwiii[emoji27]I can not imagine [emoji3064]Ndio unakomaa kusukuma lasivo unaua Mtoto weeee! Wakwanza nilijifungua kawaida sema nilikua nishapewa mbinu na marafiki... nilifumba mdomo nikashika/finya godoro mara kitanda huku nimefumba mdogo nagugumia ndani kwa ndani ...vile unavofumba nakugugumia ndani huku unavuta godoro kwanguvu inakusaidia kupush mtoto! Lakini uukiachia lazima upige makelele nguvu ya kupush inakua ndogo unaeza kaa muda mrefu!
@Heaven Sent mama malezi njoo huku. Unapitwaaaah.Muite na mama malezi Heaven Sent aje aone nisivyokua mchoyo, maana leo kanisema sana mimi mchoyo hadi nimelia[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Scroll huko juu
Zipo kibwena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu ndugu alafu nikiwa nahasira sichelewi kulia yaani kulia ni sekunde na nikilia anakzia hapohapo mbna unalia sasa[emoji16]hasira zinapanda ukija kushtuka nimebaki na bukta ngumi juu juu [emoji1787][emoji1787]
Mama anatulia anaangalia movie hadi mmoja ashindwe akalale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hapo ndo balaa na ukinyanyua mdomo unaweza tukana Hadi wakwezako uyo mumeo unaweza kumvua nguozote huko wodiniNdio unakomaa kusukuma lasivo unaua Mtoto weeee! Wakwanza nilijifungua kawaida sema nilikua nishapewa mbinu na marafiki... nilifumba mdomo nikashika/finya godoro mara kitanda huku nimefumba mdogo nagugumia ndani kwa ndani ...vile unavofumba nakugugumia ndani huku unavuta godoro kwanguvu inakusaidia kupush mtoto! Lakini uukiachia lazima upige makelele nguvu ya kupush inakua ndogo unaeza kaa muda mrefu!
Tutaenda theatre dada usijar.Uwiii[emoji27]I can not imagine [emoji3064]
Na nilivyo Nyoronyoro
Mbengo zilifungukaHuyo junia
Unaemleta aliingia je
Bila zagamuo na ku ashkrim[emoji848]