Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

#airtel#
Saint Anne
cocastic
Heaven Sent
sophy27
Msipitwe

20220508_133247.jpg
 
Hapo ndo balaa na ukinyanyua mdomo unaweza tukana Hadi wakwezako uyo mumeo unaweza kumvua nguozote huko wodini
Sema Mungu nae anamiujiza yake kile kichwa kipite hapa sio mchezo[emoji23][emoji23]wamama wanapambana aisee ndo maana akitoa radhi zinakufika hasa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kabisa
 
Tutaenda theatre dada usijar.
Ukifanyiwa op sawa unauweka mwli jeraha lisilopona dear na Bora kawaida wanawake tumeumbiwa tuzae kwa uchungu tucheze segere huko Hadi kielewek[emoji28][emoji28][emoji23]ikitokea bahat mbaya ni Op Basi ni mapenz ya Mungu pia

Pata picha ujikate kisu jeraha lilivo na linavouma imagine zikatwe layer sio chin ya tatu kufikia mtoto [emoji24][emoji24][emoji24]

Duuuuh hatari sana, mweeeeeh
 
Back
Top Bottom